Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamaniiiiii in koromije voice nene zito i mean sauti
 
Inawezekana kweli ama si kweli DNA inatabidi ihusike mzee wa mondoli hii kashfa kubwa sana kwake
Naona mmoja kapatikana.
Je,arasii atamuita mamvi? Mlalamikaji ni nani? Aliye takiwa kwenda kulalamika ni mtoto au mama wa mtoto?
Mama wa mtoto nadhani ndiye alitakiwa akaonane na arasii,aelezee mazingira(hadi kufikia hatua ya kunjunjuana) ya kuzaliwa hadi kutelekezwa huyo mtoto.Mtoto angekuwa yupo nyumbani anaangalia katuni...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…