Bob 12 yuko Somalia anafundishwa mbinu na Al Shabab, HARUFU ana majukumu, Ho chi Minh yuko mikononi mwa wasiojulikana[emoji3] [emoji3] Carb sijui mahali alipoMkuu moud wapi Bob12 ,wapi HARUFU ,wapi Ho chi Minh ,wapi carba
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] Hajatoka darasani.Nadhani ana-copy homework
Habari za jioni mkuu[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] Hajatoka darasani.Nadhani ana-copy homework
Hahahahahha! Barua ni nusu ya kuonana.Si wazima, hofu na mashaka ni kwako uliye mbali na upeo wa macho yetu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Safi sana wiki hii muhimu sana kuwatembeleaNilikuwa kwenye uzi wa MIZIMU, swafi sana walahi
Akipitia kule atapata faida sanaNenda kausome utapata mawili matatu walahi
Duuu, ndo kwanza napasikia [emoji3] [emoji3]
Hata kwetuUsiku umeingia kwetu