Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa mwaka? Unamaanisha kwa mwezi au kwa wiki? Au vile vilio wakati unamgegeda havihesabiki? [emoji16][emoji16][emoji16]

Kwa wanaume hiyo namba ni kubwa sana though...@Moudgulf hajawahi kulia [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
[emoji16][emoji16] Huwa natokwa machozi napopigwa na moshi au napokula pilipili,labda kama atajumrisha na machozi ya aina hii[emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaaa kavunja rekodi ila bana mengi wasu wanasingiziwa tu
Ukarimu na upole unawaponza sana. Na wakiacha na kuvaa nguo za rangi kali baaasi...
Mbona wanyaki wameweza isipokuwa mambo madogo madogo tu kama kushangaa shangaa vitu ambavyo hata havishangazi ndo bado
 
Salama kabisa mkuu, nilikuwa kwenu huko maeneo ya area D nimegeuza Jumanne, haukuwa hewani mkuu, nipo kwenye mji wa kijana wetu mpendwa. Kama utaenda huko nijulishe, kuna kijana wetu yupo huko, kama ataridhia nitawakutanisha
Mkuu nilikuwa same Kilimanjaro namba ya Tigo haikuwa hewani nakuja PM tuyajenge na namba Airtel nakutumia mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…