Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Wewe na mimi ni nani aliyekuwa compromised? Mimi ukatibu mkuu sijaacha. Unayetia shaka ni wewe. Baada ya Kazaramo kupotea kidogo hali ilikuwa shwari ila ziara ya Fragaria imetutia mashaka sana. Ndo maana imebidi niitishe kikao cha dharura cha bodi tuone tutakachofanya ila jiandae kufukuzwa uenyekiti.Kabla sijakupokea tena kwenye Chama lazima niwaombe wazee wa FED wapitie mafaili yako kwanza. Inawezekana ushakuwa compromised! [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa wewe upo state gani?Jf hawapo wa huko..
Humu wote tunasoma further studies Mamtoni...wakati biashara zetu zikiendelea Bongo
Manara na ule mkwara wake wa kuhamia Yanga imekuwaje? Sikumbuki vizuri details ila nadhani ulihusu Barcelona...Waliokuwa wanatafuta Ubingwa wa Laliga Santander Hispania, watafute cha kufanya Barcelona wameshamaliza kazi.
Nilijua age ni hekima ila Zari leo ameshangaza sana,amepaniki hana hekima.
[emoji16][emoji16] Kaaazi kweliAiseee kwa hio angemuacha mange amchokoeeeee mpaka au?waende sawa tu age just a number. Naona mange analia na kuringishia harusi iliyobomoka kwa aibu kubwa
Bro. Hivi ule mkasa wa Msukuma aliyebeba school bag badala ya parachute kutoka kwenye ndege siku ile uliutoa wapi? Niliishia kucheka kimya kimya tu na kujisemea kwa huzuni "Hata bro huyu mpole naye?"Sasa wewe upo state gani?
Uko sahihi.Hawezi kushindana na Mange yule mwanamke ana maneno machafu mno huoni anavyo mdhalilisha kule intragram ile ni haki kwa mama mwenye watoto ambao anategemea kupata Wajukuu.
Wewe na mimi ni nani aliyekuwa compromised? Mimi ukatibu mkuu sijaacha. Unayetia shaka ni wewe. Baada ya Kazaramo kupotea kidogo hali ikuwa shwari ila ziara ya Fragaria imetutia mashaka sana. Ndo maana imebidi niitishe kikao cha dharura cha bodi tuone tutakachofanya ila jiandae kufukuzwa uenyekiti.
Ila ukimya ukizidi unaonekana ni unyonge. Ukimya uwe na mipaka ohoo !!! [emoji16][emoji16][emoji16]Uko sahihi.
Ukimya siyo unyonge, ukimya huonyesha hekma uliyonayo, ukimya una majibu mengi kuliko mabishano
Kwani mgumu hasalimiwi mkuu?[emoji2089][emoji2089][emoji2089]Pole jamani.. nikija mitaa ya sweden hapo ntapita kukusalimu. Au na wewe mgumu?
Ahsante sana bro.Hili na mimi nilikua sijui.Ni viazi vinachimbwa. Vinaanikwa juani mpaka ule utomvu utomvu uishe. Ukishaisha vinamenywa halafu vinakatwa katwa slices na kuanikwa tena juani. Vikishakauka vinahifadhiwa na wakati wa kiangazi vinachemshwa na vikilainika vinasongwa mithili ya ugali. Wanyamwezi wao huvipika kwanza vikishamaliza utomvu na kisha kuvikata kata slices na kisha kuvianika juani. Hivi huitwa Matoborwa na ndiyo asili ya jina Tabora.
Michembe na Matoborwa unaweza kuvila asubuhi na chai au mchana pamoja na maziwa ya mgando. Ni mojawapo ya vyakula safi kabisa na ni dozi tosha dhidi ya ukimbaumbau hasa vikiliwa pamoja na maziwa mgando. Mwezi hautaisha utaona Kakimbaumbau (hata kawe kamekongoroka namna gani) kameanza kuota shavu laiini na hata kuchomoza kimsambwanda cha kishikaji shikaji dizaini fulani hivi wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]
Bradha ..tumekuwaKwani si hata waliofainenshali stebo wanazitafuta?
Vikorola tunayo mengi sanaPozi ipi uipendayo? πππ