Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Na kwako pia.Na usiku uwe mwema kwetu sote
Jinsi unavyozidi kukomalia ndo jinsi ntakavyofata nyayo za jakito na ledada and am serious
#ItakuaByeByeUziWaLikes
Hello jirani, kwema?Jirani usitoroke tena
Kijana jiheshimu humu sina buzi nililolichuna kiasi cha kuanza kuitwa demu. Sijawahi kukuvulia nguo extra careful
Mvua [emoji42][emoji42][emoji42]
Ewaaaa asijali kabisa
Subiri utahengeka tu. Utakwenda wapi? Tena mimi nakuombea uhengeke kabisa miaka 100 na kitu huko [emoji1545][emoji1545][emoji23][emoji23][emoji23] SYB una nini lakini? Mimi mhenga wa kutosha eti
Kaka ake ninepigwa ndoa ya mkeka leo[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo unasikia vizuri?....
Wakupanic wapo pembeni wanachochea tu kuni ooh!
Note: Wewe ni legend humu ndani unaelewa kila kitu tuendelee kufurahi
#MimiNaYeyeMpakaKiama
Mimi nachukulia utani tu ila kama mnakwazika na matani yangu mnasema.
Naiman wewe na ningendako mnanielewa utani wangu ila Depal na The Happiness kama mnaona utani wangu unawakwaza mnasema wapendwa.
Huu uzi umejaa upendo hatupendi kwazana
#nyieendelezenitu
#mimisiumii
#YOLO
#maishandohayahaya
#chèers[emoji482]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ee
Na usiku uwe mwema kwetu sote
Unaona sasa mpendwa Hawachi. Wambea sana uzi huu indeed wallahi. Eti wameanzisha ndoa za mikeka. Tena kwa lazima. Washindweeee [emoji351][emoji351][emoji351][emoji16][emoji16]
Ongea ukweli una nijua
Eti mimi na wewe mpendwa Hawachi [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Huyu huwa anameza watu ama? [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 1230161
Kipindi naijua jf kuna nyuzi yake ya 'self respect' nilikuwa naifatilia mno baadae ikanipoteaWhy uyafukue makaburi ya Numbisa na sio Ningeππππππππ