moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hahahaha..
Ila Mimi nna timu moja tu,ambayo Ni Liverpool.
Mpira upo ulaya bana,bongo hatuna chochote
Ukiwa na ndoo lazima pia uwe na kidumu ( kindoo kidogo) ili siku ukishindwa kubeba lindoo unakibeba kidumu chako.[emoji23][emoji23]
Ukiwa timu kubwa ulaya ni vema pia uwe na timu ndogo Tanzania.
Na timu pekee ambayo angalau haitakupa presha kwa hapa Tanzania ni Simba tu[emoji2211][emoji2211][emoji2211]
3)huleta nguvu
MBEGU ZAKE
Kausha mbegu zake juani na utwange upate unga kisha uhifadhi kwa matumizi yenye faida zaidi.
1)ukichanganya na maziwa ukapaka sehemu ngozi imeharibika asubuhi na jioni kwa wiki mbili sehemu hiyo itakuwa safi.
Ahsante.Kwa kweli sifahamu kuhusu hilo mpendwa,uwe na weekend njema.
3)huongeza nguvu za kiume
Changanya unga wa mbegu ktk maziwa flesh asubuhi na jioni tendo la ndoa halitakusumbua na wifi/shemeji atakupa shikamo.
Mgegu za fenesi zinamatumizi kumbe?2)hufanya USO kuwa soft. Changanya unga wa mbegu za fenesi katika maziwa flesh na asali update paste nzito. Kisha paka usoni asubuhi na jioni basi uso utakuwa softi sana.
4)chemsha mbegu zake kisha unywe supu yake na utafune mbegu hizo. Huondoa presha kwa mwenye presha ya kupanda
nyakati fulani udogoni zaidi tulikuwa tunatoroka madrassa then tunakwenda sokoni kwa lengo la kutafuta mbegu za fenesi baadae tunazipika
balaa siku moja tukakutana na vurugu la JKU.
ebwana weeee tulifukuzwa mpaka nikakaribia kuingia kwenye ziwa.
hahahhaaaaaaaaa niliacha kufuatana na makundi ya vijana waovu
sina allergy naichukia tu harufu yake, nikilishika hata ninawe vipi harufu yake naiskia hata siku 3
Ni kweli. Lakini pia uwezo wa kufikiria tunatofautiana.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mjini shule, shamba kilimo.
Makapuku? MH haya.Nenda jukwaa la biashara mkuu huko utapata watu wenye ujuvi na biashara..humu tupo makapuku kupoteza muda siku iende
utoto una raha na karaha.
huwashangaa sana wanaopotea ukubwani.
nimekaa na vijana wahuni kwa miaka mingi sana tokea sijabaleghe lakini sikuwahi kuvuta hata sigara ya makaratasi.
cha kusikitisha unalikuta jitu linavuta bangi, linakunywa pombe mnoo likiwa na akili timamu na miaka 28 juu.
ovyo kabisa
ha ha ha huu ni urojo mwingine
huko kwenu bara kuna wapishi wa urojo au wapishi wa togwa?
Shuaini zao kabisa. Wengine wanaharibiwa wakiwa vyuoni
wengine husingizia mazingira.
wengine husingizia kukosa nguvu ya kujisimamia.
kwa mfano wasichana wengi wanaotoa rushwa ya ngono vyuoni hutumia hoja hii ya kukosa nguvu
tokea asubuhi sijanywa maji
Mpendwa naomba agizia mirinda nyeusi nakuja kulipa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]