moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo tunaenda kuchukua Sasa.
Kwa hiyo Kama tulichukua mwaka 89,hatuwezi kuchukua mwakani?
Acha Basi kukata tamaa brother..
Hehehe[emoji23][emoji23][emoji23]
😄😄😄😄Huyo bibie ni mkewe wa ndoaMzee wa liver[emoji23][emoji23]
Acha kukariri maisha.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1].
Sijakata tamaa ili uzoefu unanifanya niwe mwangalifu na hivyo ni lazima niweke akiba ya maneno
Mkuu kama hauwezi kusema hapa si tuende tukatete kule mtaa wa saba??[emoji16][emoji16][emoji85][emoji85] Msasani Peninsula wapi sasa Masaki, Oysterbay, au Msasani kwenyewe??
Mungu wetu sote.Aaa wapi! Kitabu cha zamani sana hicho sidhani kama ulikisoma. Umesimuliwa labda [emoji16][emoji16][emoji16]
Ndio nimeisikilizaga ni nzuriUmewahi isikiza mirror ya justin waliofanyia cover hawa??
Ni nzuri kuliko original yani
Ni hatari sana [emoji23][emoji23][emoji23]Hilo kundi la pili sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
😊😊😊 ✌Tanga, Moshi na Arusha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani Anne kabila gani [emoji1][emoji1][emoji1]
Kwani Ni uongo?[emoji3]Inabidi utubu aisee.
Wewe unadai timu zetu hazichezi mpira.Utubu aisee.
Bradha naomba uje hapa unipe matokeo[emoji23][emoji23]Saint anne Everton inawatoa jasho huku, mbili bila [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Liverpool Derby.
Dk 45.
Liverpool 4--1 Everton.
Sijui mtambebea mbeleko gani Saint anne [emoji23][emoji23]
UlipoteaKwanini?