moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bro nmepita mule mule[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bro bro.
Ndiye huyo huyo[emoji23][emoji2937][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenikumbusha miaka ya zamani bado hujazaliwa kulikua na nchi inaitwa Tanganyika, utaratibu wake ulikuwa ukihitimu masomo ngazi ya juu lazima uende jeshini kupatakuwa Jasiri na Mzalendo kitu ambacho sikukubaliana nacho nikaingia mitini...
Baada ya mafunzo kuisha nilikutana na jamaa yangu aliyetoka jeshini sasa wakati wa maongezi alidondokewa na Mjusi, sasa kelele alizopiga na kule kujirusha rusha ilikua ni vichekesho...
Samahani kwa hadithi ndefu ila nia ni kukuambia Jeshi halikupi uhakika wa kufanya hayo. Wacha tu kumchinja kuku wewe ata kumbeba huwezi
Kuku wa kuzungu huyo kapelekwa shamba kula Mchwa
Maji ya yakiingia mdomoni na puani bila mpangilio maalum yanauma.Kuogelea ishanitokea mara mbili yaliingia puani yanauma.
Mauzoefu yako bro. Nakukubali sana kwenye hii sekta yetu tukufu [emoji16][emoji16]
Wakuu baadaye. Nimeitwa [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 1394090
Hata mimi nachinja
Walikuwepo lakini nadhani walikuwa wametonywa kuwa wazembee. Nilitoka hapo nimelowa damu utafikiri mimi ndiyo nimechinjwa...halafu sasa kumbe nilipaswa kukinga damu zisimwagike wazee wanasubirisha waende wakachanganye na utumbo na viungo vingine vya ndani wakaange wale. Mi nikaacha damu yote ikamwagika. Wazee waliwaka balaa ikabidi kwenda kuwatafutia gongo ndiyo wakapotezea [emoji16][emoji16]
Sent using TECNO F1 Wereva
Embu nipe namba yako nikupigie umpe simu nimuulize [emoji3]
Davet mkuu unaitwa davie😁😁😁Davie muulize kaka yangu wa damu Ukwa...atakueleza ujasili wangu
Khaa we mtoto mie hakuna mikoa nimetembea kama Mbeya na Songwe, hata Dar sijatembea kama nilivyotembea huko.Kwamba???[emoji23][emoji23][emoji23]
Dogo Mimi sehemu zote nimekaa,huwezi nidanganya chochote
Kule ileje wamewapiga bao sehemu nyingi Zina umeme..mlichowazidi Ni Rami tu,ambayo sasa imewekwa
Tatizo unaijua ileje ya huku kasumulu..ileje ya tunduma huijui.
Mimi mwenzio kote nimekaa..tukuyu,kyela na ileje kote nakujua vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3] kama kuliwa kimasihara
Kwani atanisaidia kuogelea?