Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kabisa aise, mie mwenyewe na ujeda wangu huu hadi leo naogopa wadudu. Yaani nikiona mjusi au chura chumbani niko radhi nikakeshe sebuleni, sihangaiki hata kumuua wala kumfukuza.

Cha kushangaza ni kwamba hata push up au mchaka mchaka bado vinanishinda, na hata mie najiuliza sijui jeshi limenisaidia nini sasa.
 
Mie siyo wa ushuani kaka ila labda tu ni kwa vile mie siyo mpenzi sana wa samaki ndiyo maana siwafuatilii species zao, samaki ninaowapenda mimi ni Sato na Sangara angalau na Dagaa na Uduvi, yaani hao ndiyo naweza hata kula siku bila kuchoka ila aina nyingine huwa naishia kuziona tu ila sili sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…