Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni kwa sababu ilijengwa Kama stand dogo ya magari enzi hizo mwaka 2007 vwawa bado ilikuwa mbeya
Baada ya kuona mkoa Ni mkubwa Sana wakaugawanya.
Ni swala la muda tu,watajenga mpya

Sent using Jamii Forums mobile app
Mfanye hivyo ile stendi inauzalilisha mkoa wa Songwe .... Inazidiwa hata na stendi ya Tunduma
 
Mfanye hivyo ile stendi inauzalilisha mkoa wa Songwe .... Inazidiwa hata na stendi ya Tunduma
Waligawa kabla hawajaweka miundombinu sawa.
Acheni kushangaa Sana..mbona mbeya yenyewe ile nanenane imejengwa hapa juzi Kati tu.. tulikua na kistand Cha ajabu sijapata ona kule sokomatoka na ndicho kilikuwa kistand Cha mkoa..hata ya mbozi ilikuwa na uafadhali kuliko ile stand
Na ndio ilikuwa stand ya mkoa mkubwa Kama mbeya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…