Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

😀😀😀😀 safi sana
 
COVID 19.
Nchi kumi zenye maambukizi makubwa barani Afrika

1.Afrika. Kusini 1655
2.Algeria 1350
3.Misri 1173
4.Morocco 1021
5.Cameroon 650
6.Tunisia 574
7.Burkina Faso 345
8.Ivory Coast 261
9.Nigeria 232
10.Mauritius 227
Ule usemi wa Corona haisumbui sana watu weusi ni kweli nini? Kila siku nikifatilia hizi takwimu naona kabisa mataifa ya watu weupe yanapata tabu zaidi
 
tabu huja kuamka asubuhi sasa,
Imagine Leo alarm imeita nazima, inaita nazima, was in that situation nikiulizwa 'Leo huendi kazini.!' Ningejibu 'siyo kwenda tu na kuitaka sitaki'..! [emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umenikumbusha kuna meme moja inaonesha picha kanyani kamelala kitandani kanatafakari halafu maneno yanasema, "when your alarm rings and you start thinking whether your job is more important than your sleep".
 
Hahaa.!!
Hakuna kipindi nakuwaga dilemma kama naipenda kazi yangu ama nalazimishwa, kama kipindi cha kuamka asubuhi jamani.!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…