myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
WhoooiAnne nilikutag mahali, ulifika?
Daah hili shairi lako sijalielewa ankoMaana ziwa Ngosi kila mtu analijua kwa kusimuliwa. Nikajua na wewe walikusimulia kuwa kwenye huto tuvisiwa kuna kilimo cha maparachichi...
Siku imeendaje Anko? Mungu ni mwema tupo kama tupo
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh!Ziwa Ngosi: Hakuna samaki yeyote hivyo hakuna shughuli yoyote ya uvuvi sababu maji yake ni kama yamechacha hakuna hewa ya Oksijeni. Haishauliwi kuogelea sababu ni kama unataka kufanya hivyo kwenye maziwa fresh.
Usiutafute usiku huu kama wewe ni muoga plz,Whoooi
Hii app yangu Kama imelala hivi[emoji134]
Hainipi notifications
Ngoja nirudi kutafuta
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi si muogaUsiutafute usiku huu kama wewe ni muoga plz,