GedsellianTz
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 1,348
- 1,805
Ndio maisha ya football hayo ila kwa mashabiki wa bongo linaonekana jambo la ajabu! Hata iweje wangeondoka tu hakuna mkataba wa milele#EXLUSIVE||; [emoji599] Klabu Ya Young Africans Huenda Ikatangaza Kuachana Na Kocha Wao Wa Viungo Helmy Gueldich, Kocha Huyo Ambaye Amehudumu Young Africans Zaidi Ya Miaka Miwili Anahitaji Kwenda Kutafuta Changamoto Sehemu Nyingine.
Nimuwendelezo Wa Young Africans Kuendelea Kupoteza Watu Wao Muhimu Kwenye Benchi La Ufundi.
1.. Kocha Mkuu Tayari Amesha Agwa.
2.. Kocha Wa Magolikipa Naye Ameshaagwa.
View attachment 2659533
Au akawe msaidizi pale msimbaziNabi alikuja na watu wake na ndio anaondoka nao...
Mara paaap, nabi huyu hapa Azam FC
Wananchi iiiiiiii😂Messi anaenda wapii??
Hawez kwenda kwa makoloAu akawe msaidizi pale msimbazi
Ni kweliKweli Financial Fair Play ziliwalazimu Barça waachane na Messi hawakupenda.
Hata Messi alisema hakupenda kuona wachezaji wenzake wapunguze mishahara yao ili tu yeye abaki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimesikia Kwa mafanikio ya Simba kocha Robertinho anahitajika na matajiri wa JUBA, Zalan FC
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wananchi iiiiiiii[emoji23]