Tetesi: Uzi maalumu wa tetesi mbalimbali za usajili kuelekea msimu mpya wa ligi 2023/24
Mimi kila nikiamka naanzia kwenye page ya "micky junior"...jamaa taarifa zake za tetesi na usajili uliokamilika 95% ni zakweli na ndio mwaandishi mtoa habari za michezo za afrika kwa upande wa football bora kwangu,....so ukiona taarifa ya huyu onana haipo kwenye page yake hiyo taarifa ni batili
 
Tetesi zinadai kwamba Klabu ya Simba ipo kwenye mjadala na Winga wake wa zamani Luis Miquisone ikifanya jitihada za kutaka kumrejesha kama mbadala wa Mghana Okrah ambaye imebainika ataachwa mwishoni mwa msimu huu.

Chanzo hicho kinadai kwamba majadiliano yapo zaidi kwenye kiwango cha mshahara cha mchezaji huyo.

Je Simba watafanikiwa?

Unafikiri akirudi itakuwa uamuzi sahihi?
Anataka mshahara 46m kwa mwezi
 
Mimi natamani astaafie Barça, imagine jinsi ile farewell itakuwa pale Camp Noú, siku hiyo lazima mashabiki wengi wa Barça watatokwa na machozi

Yule ni legendary wa Barça ila aliondoka kienyeji sana, Barça hawana desturi hiyo katika kuwaaga wachezaji wao wakubwa na walioipatia klabu yao mafanikio
Kanuni za [emoji633] ktk soka ndo zilifanya Messi aondoke, hata yeye hakupenda pia. Ila ndo hivyo sasa.
 
Sasa wale wazee wa kusubilia pesa ya maandalizi ya super cup ili wafanye usajili itakuwaje? Wametoa macho kuomba iyo pesa itoke haraka iwaokoe wamebaki kupatanisha wachezaji kwa mali kauli but wenzao wanaweka mpunga wanapita nao kama kipanga ligi ikianza watakuwa wameambulia masalia kutoka ligi za Rwanda na burundi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Azam hata wawachukue Messi na Ronaldo hawawezi kuchukua ubingwa wala kuwa 2nd, wako ni kuanzia 3 kushuka chini.
 
Kanuni za [emoji633] ktk soka ndo zilifanya Messi aondoke, hata yeye hakupenda pia. Ila ndo hivyo sasa.
Kweli Financial Fair Play ziliwalazimu Barça waachane na Messi hawakupenda.

Hata Messi alisema hakupenda kuona wachezaji wenzake wapunguze mishahara yao ili tu yeye abaki
 
Bila ya salamu

Habari kutoka vyanzo vyangu vya ndani katika klabu ya Wekundu wa Msimbazi zinaarifu kuwa Mshambuliaji hatari raia wa cameroon aliyekuwa akiitumikia klabu ya Rayon Sports nchini Rwanda, Willy Essomba Onana amesaini kandarasi ya miaka miwili ndani ya Wababe wa Tanzania, Simba Sports Club.

Usajili huu si tu utaiongezea makali ya ushambuliaji timu ya Simba Sc, bali utakwenda kupelekea Simba kuwa tishio katika kombe la klabu bingwa barani Africa. Muunganiko wa Onana na Jean Baleke utapelekea maafa kwenye timu pinzani na si ajabu tukawaona wawili hawa wakimaliza ligi wakiwa na magoli zaidi ya 50 kila mmoja.

Bienvenido Onana.

We are unstoppable
Surpong mwingine kutoka ligi ya Rwanda anakuja kucheza ligi ya Tz
 
Mimi kila nikiamka naanzia kwenye page ya "micky junior"...jamaa taarifa zake za tetesi na usajili uliokamilika 95% ni zakweli na ndio mwaandishi mtoa habari za michezo za afrika kwa upande wa football bora kwangu,....so ukiona taarifa ya huyu onana haipo kwenye page yake hiyo taarifa ni batili
Promo
 
Bila ya salamu

Habari kutoka vyanzo vyangu vya ndani katika klabu ya Wekundu wa Msimbazi zinaarifu kuwa Mshambuliaji hatari raia wa cameroon aliyekuwa akiitumikia klabu ya Rayon Sports nchini Rwanda, Willy Essomba Onana amesaini kandarasi ya miaka miwili ndani ya Wababe wa Tanzania, Simba Sports Club.

Usajili huu si tu utaiongezea makali ya ushambuliaji timu ya Simba Sc, bali utakwenda kupelekea Simba kuwa tishio katika kombe la klabu bingwa barani Africa. Muunganiko wa Onana na Jean Baleke utapelekea maafa kwenye timu pinzani na si ajabu tukawaona wawili hawa wakimaliza ligi wakiwa na magoli zaidi ya 50 kila mmoja.

Bienvenido Onana.

We are unstoppab
 
Confirmed
Sakho anaondoka Simba
Mayele anaondoka Yanga
 
#EXLUSIVE||; 🚨 Klabu Ya Young Africans Huenda Ikatangaza Kuachana Na Kocha Wao Wa Viungo Helmy Gueldich, Kocha Huyo Ambaye Amehudumu Young Africans Zaidi Ya Miaka Miwili Anahitaji Kwenda Kutafuta Changamoto Sehemu Nyingine.

Nimuwendelezo Wa Young Africans Kuendelea Kupoteza Watu Wao Muhimu Kwenye Benchi La Ufundi.

1.. Kocha Mkuu Tayari Amesha Agwa.
2.. Kocha Wa Magolikipa Naye Ameshaagwa.
Screenshot_20230616-124352_Facebook.jpg
 
Back
Top Bottom