Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anataka mshahara 46m kwa mwezi
Tetesi zinadai kwamba Klabu ya Simba ipo kwenye mjadala na Winga wake wa zamani Luis Miquisone ikifanya jitihada za kutaka kumrejesha kama mbadala wa Mghana Okrah ambaye imebainika ataachwa mwishoni mwa msimu huu.
Chanzo hicho kinadai kwamba majadiliano yapo zaidi kwenye kiwango cha mshahara cha mchezaji huyo.
Je Simba watafanikiwa?
Unafikiri akirudi itakuwa uamuzi sahihi?
Duuuh nilijua atakuja city lolUo ukwel
Kanuni za [emoji633] ktk soka ndo zilifanya Messi aondoke, hata yeye hakupenda pia. Ila ndo hivyo sasa.Mimi natamani astaafie Barça, imagine jinsi ile farewell itakuwa pale Camp Noú, siku hiyo lazima mashabiki wengi wa Barça watatokwa na machozi
Yule ni legendary wa Barça ila aliondoka kienyeji sana, Barça hawana desturi hiyo katika kuwaaga wachezaji wao wakubwa na walioipatia klabu yao mafanikio
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] nampenda huyu mkaka, nilitaman aje Man city.Done deal, Kutoka kwa Fabrizio
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Azam hata wawachukue Messi na Ronaldo hawawezi kuchukua ubingwa wala kuwa 2nd, wako ni kuanzia 3 kushuka chini.Sasa wale wazee wa kusubilia pesa ya maandalizi ya super cup ili wafanye usajili itakuwaje? Wametoa macho kuomba iyo pesa itoke haraka iwaokoe wamebaki kupatanisha wachezaji kwa mali kauli but wenzao wanaweka mpunga wanapita nao kama kipanga ligi ikianza watakuwa wameambulia masalia kutoka ligi za Rwanda na burundi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kweli Financial Fair Play ziliwalazimu Barça waachane na Messi hawakupenda.Kanuni za [emoji633] ktk soka ndo zilifanya Messi aondoke, hata yeye hakupenda pia. Ila ndo hivyo sasa.
Surpong mwingine kutoka ligi ya Rwanda anakuja kucheza ligi ya TzBila ya salamu
Habari kutoka vyanzo vyangu vya ndani katika klabu ya Wekundu wa Msimbazi zinaarifu kuwa Mshambuliaji hatari raia wa cameroon aliyekuwa akiitumikia klabu ya Rayon Sports nchini Rwanda, Willy Essomba Onana amesaini kandarasi ya miaka miwili ndani ya Wababe wa Tanzania, Simba Sports Club.
Usajili huu si tu utaiongezea makali ya ushambuliaji timu ya Simba Sc, bali utakwenda kupelekea Simba kuwa tishio katika kombe la klabu bingwa barani Africa. Muunganiko wa Onana na Jean Baleke utapelekea maafa kwenye timu pinzani na si ajabu tukawaona wawili hawa wakimaliza ligi wakiwa na magoli zaidi ya 50 kila mmoja.
Bienvenido Onana.
We are unstoppable
Teh teh teh Wazee wa CV. By the way naona sasa umekuwa mpole sana kushobokea magarasa ya Mangungu na Mwamedi.Mkuu weka CV yake imbebe wala huhitaji kumbeba. Safari hii Mangungu akisajili ujinga ataondoka kwa nguvu.
PromoMimi kila nikiamka naanzia kwenye page ya "micky junior"...jamaa taarifa zake za tetesi na usajili uliokamilika 95% ni zakweli na ndio mwaandishi mtoa habari za michezo za afrika kwa upande wa football bora kwangu,....so ukiona taarifa ya huyu onana haipo kwenye page yake hiyo taarifa ni batili
Bila ya salamu
Habari kutoka vyanzo vyangu vya ndani katika klabu ya Wekundu wa Msimbazi zinaarifu kuwa Mshambuliaji hatari raia wa cameroon aliyekuwa akiitumikia klabu ya Rayon Sports nchini Rwanda, Willy Essomba Onana amesaini kandarasi ya miaka miwili ndani ya Wababe wa Tanzania, Simba Sports Club.
Usajili huu si tu utaiongezea makali ya ushambuliaji timu ya Simba Sc, bali utakwenda kupelekea Simba kuwa tishio katika kombe la klabu bingwa barani Africa. Muunganiko wa Onana na Jean Baleke utapelekea maafa kwenye timu pinzani na si ajabu tukawaona wawili hawa wakimaliza ligi wakiwa na magoli zaidi ya 50 kila mmoja.
Bienvenido Onana.
We are unstoppab
Sisi yanga hatuna kinyongo na wao. Tunafurahi nao huko wanaenda kula hela ndefu zaidi.CV ishapanda, unadhani fainali mchezo.
Umewaza kama nilivyowaza.Nabi alikuja na watu wake na ndio anaondoka nao...
Mara paaap, nabi huyu hapa Azam FC