Tetesi: Uzi maalumu wa tetesi mbalimbali za usajili kuelekea msimu mpya wa ligi 2023/24
Gavi has been officially registered by La Liga, never been in doubt on Barcelona and player side despite links to PL clubs on potential free transfer.

New deal is valid until June 2026 with €1B release clause.
 
Fair to say Chelsea and Kai Havertz are on same page. Club prepared to let him leave — while Havertz is open to trying new chapter elsewhere.

Chelsea hope for more clubs to join the race in the next days after Real Madrid interest registered last week.
 
World Cup champion Ángel Di Maria is now officially available as free agent. El Fideo leaves Juventus with immediate effect.

Benfica are dreaming of Di Maria’s return but there are several options available, no decision yet. Open race.
 
Understand Saudi side Al Fateh has now submitted an official proposal to Alexis Sánchez.

€10m salary per season offered to OM forward. Contract valid until 2024 plus option for further season.
 
Naona Saudi Arabia wanataka kufanya kitu walifanya ligi ya China miaka michache iliyopita kusajili wachezaji wenye majina makubwa ambao wako free kuipigia promo ligi yao
 
Breaking | Inter Miami are now the favourites to sign Lionel Messi, according to L'Équipe. More follows.
 
Gor Mahia wanamfukuzia Joasha Onyango

1686146159902.png


Klabu ya Gor Mahia ya nchini Kenya 🇰🇪 imeanza mazungumzo na beki wa Simba, Joash Onyango (29) kwa ajili ya msimu ujao.

Beki huyo raia wa Kenya licha ya kucheza mara kwa mara ndani ya kikosi hicho, huenda akarejea kwao baada ya msimu huu kuisha kutokana na kile kinachoonekana kutokubalika na mashabiki wengi.

Licha ya Gor Mahia kumuhitaji Onyango, Singida Big Stars nayo inahitaji saini yake.
 
[emoji599]BREAKING NEWS,..simba inakaribia kumalizana na kiungo wa mbeya city,hassan maulid machezo,jamaa anacheza namba 6 na namba 8 na namba 10.

Jamaa anakuja kuchukua nafasi ya mkude,ambaye simba wanatarajia kuachana naye.

Jamaa anajua sana mpira,ni usjili mzuri kama utakamilika.

N.B singida wanawazoom tu simba wapite naye,manake singida wanawaoneaga sana simba kwenye usajili wa ndani.
 
Back
Top Bottom