Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Mimi natamani astaafie Barça, imagine jinsi ile farewell itakuwa pale Camp Noú, siku hiyo lazima mashabiki wengi wa Barça watatokwa na machoziYaan nlitamani Messi astaafu siku ile ile baada ya final WC kuishaaa, ingempa heshima sanaa.
Yule ni legendary wa Barça ila aliondoka kienyeji sana, Barça hawana desturi hiyo katika kuwaaga wachezaji wao wakubwa na walioipatia klabu yao mafanikio