Tetesi: Uzi maalumu wa tetesi mbalimbali za usajili kuelekea msimu mpya wa ligi 2023/24

Tetesi zinadai kwamba Klabu ya Simba ipo kwenye mjadala na Winga wake wa zamani Luis Miquisone ikifanya jitihada za kutaka kumrejesha kama mbadala wa Mghana Okrah ambaye imebainika ataachwa mwishoni mwa msimu huu.

Chanzo hicho kinadai kwamba majadiliano yapo zaidi kwenye kiwango cha mshahara cha mchezaji huyo.

Je Simba watafanikiwa?

Unafikiri akirudi itakuwa uamuzi sahihi?
anataka mshahara 47m kwa mwezi
 
Inadaiwa kuwa Nabi anaweza kuondoka Yanga mwishoni mwa msimu huu

Nabi alishapewa kishika uchumba na team moja kubwa barani Africa hivyo mda wowote kuanzia sasa anaweza kusepa

Yanga wanapaswa kuanza mpango mwingne wakutafuta coach

Wananchi hapo vipi [emoji102]
tayari yanga wameishampanga micho
 
Kai havertz asepe fasta CHELSEA ni Daraja tu refer kwa KDB aliambiwa kaflop chelsea lakini alivyotoka saivi ni next level..

Salah Chelsea alikua wa kawaida sanaa alivyotoka kwenda Liva ni balaa tupu

Kai Havertz nenda Drid ukakiwashe uko fundi
 
Tulia skauti yetu ya msimu huu inaenda kufanya competition na timu kubwa kama Wydad au Al Ahly kwenye usajili

Mchezaji ambaye Wydad anaonekana kumtaka ndio huyo huyo atayekuwa kwenye radar zetu
Chini ya MO hiyo ni ndoto ya saa nane mchana
 
Haya majina ya ngoma hayafanyagi vizuri Yanga. Wanamwacha yule winga hatari wa Usm Alger yule mzimbwabwe wanatuletea ngoma tena?
Yule ni mbotswana
Mshahara anaolipwa kule sijui kama Yanga wangeweza
 
Haya majina ya ngoma hayafanyagi vizuri Yanga. Wanamwacha yule winga hatari wa Usm Alger yule mzimbwabwe wanatuletea ngoma tena?
Ngoma hawafanyagi vizuri Yanga?
Kweni kuna ngoma wangapi wamepita Yanga na yupi ambaye hakufanya vizuri?
 
Ngoma hawafanyagi vizuri Yanga?
Kweni kuna ngoma wangapi wamepita Yanga na yupi ambaye hakufanya vizuri?
huyo ngoma mmepigwa, bora mbakie na moloko wenu tu...leo moloko alitoka uwanjan akiwa analia kwa hasira zakutopewa mkataba mpya sababu anajua kabisa panga la eng. hersi lazima limpitie
 
huyo ngoma mmepigwa, bora mbakie na moloko wenu tu...leo moloko alitoka uwanjan akiwa analia kwa hasira zakutopewa mkataba mpya sababu anajua kabisa panga la eng. hersi lazima limpitie
Unajua huyo ngoma anacheza nafasi gani? Maana naona una mfananisha na moloko
 
Inadaiwa kuwa Nabi anaweza kuondoka Yanga mwishoni mwa msimu huu

Nabi alishapewa kishika uchumba na team moja kubwa barani Africa hivyo mda wowote kuanzia sasa anaweza kusepa

Yanga wanapaswa kuanza mpango mwingne wakutafuta coach

Wananchi hapo vipi [emoji102]
Nabi anamkataba mbichi na Waheshimishaji wa nchi ya TANZANIA kwenye soka, timu ya Wananchi.
 
nawashauri simba waachane na onyango,banda,okrah,outtara,sawadogo na phiri.....phiri mchezaji mzuri lakini kocha hana mipango nae,bora panga limpitie tu
 
Nabi anamkataba mbichi na Waheshimishaji wa nchi ya TANZANIA kwenye soka, timu ya Wananchi.
kocha sio kama wachezaji, kocha anaweza akasaini mkataba asubuhi na klabu then jioni ukasikia amevunja mkataba kwa makubaliano yapande zote mbili....
 
Back
Top Bottom