Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
anataka mshahara 47m kwa mwezi
Tetesi zinadai kwamba Klabu ya Simba ipo kwenye mjadala na Winga wake wa zamani Luis Miquisone ikifanya jitihada za kutaka kumrejesha kama mbadala wa Mghana Okrah ambaye imebainika ataachwa mwishoni mwa msimu huu.
Chanzo hicho kinadai kwamba majadiliano yapo zaidi kwenye kiwango cha mshahara cha mchezaji huyo.
Je Simba watafanikiwa?
Unafikiri akirudi itakuwa uamuzi sahihi?
tayari yanga wameishampanga micho
Inadaiwa kuwa Nabi anaweza kuondoka Yanga mwishoni mwa msimu huu
Nabi alishapewa kishika uchumba na team moja kubwa barani Africa hivyo mda wowote kuanzia sasa anaweza kusepa
Yanga wanapaswa kuanza mpango mwingne wakutafuta coach
Wananchi hapo vipi [emoji102]
kasaini singida big starsYahya Mbegu to Simba sc
Sikuona kiungo mzito hilalSasa huyo jamaa ndio definition ya uzito haswaaa[emoji3][emoji3]
Chini ya MO hiyo ni ndoto ya saa nane mchanaTulia skauti yetu ya msimu huu inaenda kufanya competition na timu kubwa kama Wydad au Al Ahly kwenye usajili
Mchezaji ambaye Wydad anaonekana kumtaka ndio huyo huyo atayekuwa kwenye radar zetu
Siyo vizuri kumsema Putin wetu wa Bongo.SIMBA WAMENISHANGAZA SANA KUMUACHA HUYU FUNDI WANANG'ANGANA NA KANUTE MPIGA MATEKE.
Yule ni mbotswanaHaya majina ya ngoma hayafanyagi vizuri Yanga. Wanamwacha yule winga hatari wa Usm Alger yule mzimbwabwe wanatuletea ngoma tena?
Ngoma hawafanyagi vizuri Yanga?Haya majina ya ngoma hayafanyagi vizuri Yanga. Wanamwacha yule winga hatari wa Usm Alger yule mzimbwabwe wanatuletea ngoma tena?
huyo ngoma mmepigwa, bora mbakie na moloko wenu tu...leo moloko alitoka uwanjan akiwa analia kwa hasira zakutopewa mkataba mpya sababu anajua kabisa panga la eng. hersi lazima limpitieNgoma hawafanyagi vizuri Yanga?
Kweni kuna ngoma wangapi wamepita Yanga na yupi ambaye hakufanya vizuri?
Unajua huyo ngoma anacheza nafasi gani? Maana naona una mfananisha na molokohuyo ngoma mmepigwa, bora mbakie na moloko wenu tu...leo moloko alitoka uwanjan akiwa analia kwa hasira zakutopewa mkataba mpya sababu anajua kabisa panga la eng. hersi lazima limpitie
Nabi anamkataba mbichi na Waheshimishaji wa nchi ya TANZANIA kwenye soka, timu ya Wananchi.
Inadaiwa kuwa Nabi anaweza kuondoka Yanga mwishoni mwa msimu huu
Nabi alishapewa kishika uchumba na team moja kubwa barani Africa hivyo mda wowote kuanzia sasa anaweza kusepa
Yanga wanapaswa kuanza mpango mwingne wakutafuta coach
Wananchi hapo vipi [emoji102]
midifilderUnajua huyo ngoma anacheza nafasi gani? Maana naona una mfananisha na moloko
Sasa anafanana vipi na moloko?midifilder
kocha sio kama wachezaji, kocha anaweza akasaini mkataba asubuhi na klabu then jioni ukasikia amevunja mkataba kwa makubaliano yapande zote mbili....Nabi anamkataba mbichi na Waheshimishaji wa nchi ya TANZANIA kwenye soka, timu ya Wananchi.