Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uyu anaweza kwenda psg.. Aston Villa sizanii kama atakubaliBREAKING: Marco Asensio is close to signing for Aston Villa
Nasikia ni middle,ni Jambo jema,yanga hakuna namba nane mwepesi,wote huchelewa kufanya maamuziView attachment 2647550
Yanga wanakaribia kumalizana na kiungo Fabrice Ngoma
Taarifazinadai kwamba mazungumzo yao yamefika sehemu nzuri.
Vipi Wananchi atawafaa huyu?
Sasa huyo jamaa ndio definition ya uzito haswaaa[emoji3][emoji3]Nasikia ni middle,ni Jambo jema,yanga hakuna namba nane mwepesi,wote huchelewa kufanya maamuzi
Tulia skauti yetu ya msimu huu inaenda kufanya competition na timu kubwa kama Wydad au Al Ahly kwenye usajiliSIMBA WAMENISHANGAZA SANA KUMUACHA HUYU FUNDI WANANG'ANGANA NA KANUTE MPIGA MATEKE.
Na hata mwaka huu isipofanikiwa, tupo tayari kusubiri wakati mwingine.Tulia skauti yetu ya msimu huu inaenda kufanya competition na timu kubwa kama Wydad au Al Ahly kwenye usajili
Mchezaji ambaye Wydad anaonekana kumtaka ndio huyo huyo atayekuwa kwenye radar zetu
Hatufanyi sajili kwa mihemkoNa hata mwaka huu isipofanikiwa, tupo tayari kusubiri wakati mwingine.
Eti radar [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1]Tulia skauti yetu ya msimu huu inaenda kufanya competition na timu kubwa kama Wydad au Al Ahly kwenye usajili
Mchezaji ambaye Wydad anaonekana kumtaka ndio huyo huyo atayekuwa kwenye radar zetu
Okotezeni kama AbigirimanaKwa taarifa nilizozipata kutoka kwenye chanzo cha kuaminika ni kwamba, kiungo matata kabisa raia wa DRC na klabu ya Al Hilal ya Sudan, Fabrice Ngoma amesaini mkataba wa miaka 2 kuitumikia Young Africans SC.
Ni suala la muda tu kumtangaza.
Kumbe mimi na makabi lilepo umri ni sawa
Makabi Lilepo
Issa Fofana
Inadaiwa Simba SC ipo kwenye mazungumzona Wachezaji wawili wa Al Hilal.
Simba SC imewasiliana na Al Hilal kwa wachezaji wawili - imethibitishwa.
1. Kipa: Issa Fofana (19) akichukua nafasi ya Aishi Manula.
2. Mshambuliaji: Makabi Lilepo (25) akichukua nafasi ya Augustine Okrah.
Al Hilal wapo tayari kusikiliza ofa na kujadiliana na Simba kutokana na urafiki wa dhati uliopo kati ya klabu zote mbili.