huyo kocha al ahaly alikua analipya billion moja na point kwa mwezi na anataka aje na benchi zima lake la ufundi je? wananchi mtapitisha bakuli?
 
huyo kocha al ahaly alikua analipya billion moja na point kwa mwezi na anataka aje na benchi zima lake la ufundi je? wananchi mtapitisha bakuli?
Labda atalipwa na mama samia si timu ya serekale
 
Aje tu. Ila ajue Utopolo inaendeshwa 'kiuswahili uswahili' na washabiki wake wala mihogo ni hatare. Mwakani tutasikia amevunja mkataba na kuwaita yale majina magumu aliyowaita Emayel.
 
Kama kuna vitu unafikiria havitakaa viwezekane kwenye maisha yako basi na hili la Pitso ongezea tu..!
 
Kuripoti tetesi haimaanishi usitumie common sense. Ukitumia common sense utaona Tz hakuna timu ya kumlipa Mosemane
 
Yaani pitso aje yanga? Pale all haly alikuwa analipwa million 250 kwa mwezi yaani bajeti yenu ya miezi 3 mtu anachukua mwezi 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…