Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Mimi natamani astaafie Barça, imagine jinsi ile farewell itakuwa pale Camp Noú, siku hiyo lazima mashabiki wengi wa Barça watatokwa na machoziYaan nlitamani Messi astaafu siku ile ile baada ya final WC kuishaaa, ingempa heshima sanaa.
angekua ajafeli mpaka mda huu angekuwa morroco pia al hilal ya sudan haijaterminate mikataba yawachezaji wake wote bora inaowahitaji mpaka xaxa zaidi ya waliofeli kama kina ngoma hao licha yajanga lavita....anyway ngoja tusubiri mda utaongeaMorocco hakufeli alicheza mpaka mkataba ulipoisha.
Mchezaji alofeli anaweza panga mechi za fainali akacheza mwanzo mwisho?
Hali ya Sudan kila mtu anaijua
Kama ni mchezaji wa kawaida sawa tusubiri tutamuona
Mda utasema haina haja ya kubishanaangekua ajafeli mpaka mda huu angekuwa morroco pia al hilal ya sudan haijaterminate mikataba yawachezaji wake wote bora inaowahitaji mpaka xaxa zaidi ya waliofeli kama kina ngoma hao licha yajanga lavita....anyway ngoja tusubiri mda utaongea
Mbrazil ni mchezaji wa mechi ndogo. Siyo wa Champions league aseeSijawahi mbona ila kwangu mimi option ya mido ilikuwa ya yule Mbrazili wa Singida japo kulikuwa na umuhimu pia wa kuwa na namba 10 mwingine anayepiga makiki kwenye zile rebounds
Kwa 35m??Liverpool have just signed Alexis Mac Allister for… £35m. 🚨🔴 #LFC
Ndio hivyo mkuuKwa 35m??
Chanzo chako unaweza kukiweka hapa.
Hiyo ni pesa ndogo sana kwa Brighton kumwachia MacAllister
Ngoma siyo DM na ana historia ya majerahaSIMBA WAMENISHANGAZA SANA KUMUACHA HUYU FUNDI WANANG'ANGANA NA KANUTE MPIGA MATEKE.
Bado hajasaini ihefu wamegoma.kasaini singida big stars