Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Bruno anajua acha nongwaMbrazil ni mchezaji wa mechi ndogo. Siyo wa Champions league asee
Subiri asajiliwe afu akutane na Wydad au Ahly afu uje hapa tukumbushane. Cha kwanza hana nguvu pili hawezi kufanya pressingBruno anajua acha nongwa
Kuwa mwanaume, acha kuandika kike. "Ko" ndio nini?Ambacho hujaelewa hapo ni nini? Kulikua na haja gani ya kuitana bwege ?
Kua mstarabu
Labda ni" kokoliiiiiikoooo"[emoji2089][emoji2089]Kuwa mwanaume, acha kuandika kike. "Ko" ndio nini?
Ko na ukike vina husiana vipi?Kuwa mwanaume, acha kuandika kike. "Ko" ndio nini?
Nimeiona kwa fabrizio. Then nimechek sources zingine wamesema MacAllister alikuwa na release clause hiyo kwenye mkataba wake.Ndio hivyo mkuu
Sio kila mchezaji anatumia nguvu Peter Shalulile , Hamza Khabba, Chama wana nguvu gani?Subiri asajiliwe afu akutane na Wydad au Ahly afu uje hapa tukumbushane. Cha kwanza hana nguvu pili hawezi kufanya pressing
Yupo sana huyooooNyoni bye bye Simba