Uzi wa sehemu za gharama nafuu kulala kwa wanaokwenda kwenye saili Dodoma

Ndugu chitoholi kama hutojali naomba utuwekee namba yako hapa au ikishindikana kabisa PM.

Nimeipenda huduma yako.
 
Duh! Dodoma ina majina magumu sana. Huu ni mtaa au ni jina la sehemu ya kulala?
Ni mtaa huo una majumba kama yote nilivyoshuka nikaulizia boda maeneo ya gesti ndo wakanitajia hapo na pengine walisema NTyuka sijui yaan majina kama dawa vile Za Dr Mandonga
 
Labda ulipiga muda ambao nilikua nimelala au nilikua nabadili laini,kuweka kwenye simu nyingine.Pole sana.
Sawa mkuu.

Dogo angekuwa hajafunga chuo, ningepata nafasi ya kulala bure, ila dogo kashasepa home
 
Kama sasa ambapo tunasubiri majibu unaweza kwenda kukesha huko stand ili lolote likitokea ufanye maamuzi ya kuondoka au kwenda oral.

Tunaingizwa gharama za kipuuzi kusubirishwa matokeo namna hii
Yeah! kwa wale ambao wanasubiria majibu,kweli unaweza kuepusha gharama,kwa kwenda stendi,kujua mbivu na mbichi.
 
Ni mtaa huo una majumba kama yote nilivyoshuka nikaulizia boda maeneo ya gesti ndo wakanitajia hapo na pengine walisema NTyuka sijui yaan majina kama dawa vile Za Dr Mandonga

Hahaha, nashukuru kwa ufafanuzi mkuu.
 
Kama sasa ambapo tunasubiri majibu unaweza kwenda kukesha huko stand ili lolote likitokea ufanye maamuzi ya kuondoka au kwenda oral.

Tunaingizwa gharama za kipuuzi kusubirishwa matokeo namna hii
Sema hizi gharama wakati mwingine unaona bora ungekamata pisi tu usuuze moyo😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…