Uzi wa sehemu za gharama nafuu kulala kwa wanaokwenda kwenye saili Dodoma

Uzi wa sehemu za gharama nafuu kulala kwa wanaokwenda kwenye saili Dodoma

Baadhi ya watu ni wabishi,mtu una usaili maeneo ya UDOM,unafikia mjini,unakutana na loji za hovyohovyo,mi nona ujilaumu mwenyewe,nimewaambia watu,fikieni Nghonghona,iko pembezoni na UDOM,loji ni nzuri Sana,tena bei ni 10,11,122 na 15,nimewapokea wengi,hakuna aliyelalamika,kama pesa,mi naenda kupewa na mhudumu wa loji,baadhi ya watu hawaelewi,wale ambao bado wanaingia,na nawasiliana nao ni mashahidi wakifika,na wale waliolala kwenye loji za huku,Kama loji ni mbaya,waseme humu,haki ya Mungu,loji ni classic na bei ni za kawaida sana,usafiri kwenda CIVE,CBSL,Utumishi ni mdogo Sana na unapelekwa hadi venue husika,mfano Auditorium,Theatres etc.Karibuni.

Ndugu chitoholi kama hutojali naomba utuwekee namba yako hapa au ikishindikana kabisa PM.

Nimeipenda huduma yako.
 
Duh! Dodoma ina majina magumu sana. Huu ni mtaa au ni jina la sehemu ya kulala?
Ni mtaa huo una majumba kama yote nilivyoshuka nikaulizia boda maeneo ya gesti ndo wakanitajia hapo na pengine walisema NTyuka sijui yaan majina kama dawa vile Za Dr Mandonga
 
Labda ulipiga muda ambao nilikua nimelala au nilikua nabadili laini,kuweka kwenye simu nyingine.Pole sana.
Sawa mkuu.

Dogo angekuwa hajafunga chuo, ningepata nafasi ya kulala bure, ila dogo kashasepa home
 
Kama sasa ambapo tunasubiri majibu unaweza kwenda kukesha huko stand ili lolote likitokea ufanye maamuzi ya kuondoka au kwenda oral.

Tunaingizwa gharama za kipuuzi kusubirishwa matokeo namna hii
Yeah! kwa wale ambao wanasubiria majibu,kweli unaweza kuepusha gharama,kwa kwenda stendi,kujua mbivu na mbichi.
 
Ni mtaa huo una majumba kama yote nilivyoshuka nikaulizia boda maeneo ya gesti ndo wakanitajia hapo na pengine walisema NTyuka sijui yaan majina kama dawa vile Za Dr Mandonga

Hahaha, nashukuru kwa ufafanuzi mkuu.
 
Kama sasa ambapo tunasubiri majibu unaweza kwenda kukesha huko stand ili lolote likitokea ufanye maamuzi ya kuondoka au kwenda oral.

Tunaingizwa gharama za kipuuzi kusubirishwa matokeo namna hii
Sema hizi gharama wakati mwingine unaona bora ungekamata pisi tu usuuze moyo😂😂😂
 
Back
Top Bottom