Kutoka hapo hamna usafiri hata wa Bajaj kwenda UDOM?Sikieni sasa kama huna kabisa hela, kuna guest moja bei ni 5k choo nje, na 7k(self) kama sijasahau, hii ipo karibu kabisa na Chuo yani unakiona chuo kile pale na unaweza ukatembea kabisa ila kuna mwendo.
Jinsi ya kufika: ukifika stend ya Mabasi panda gari zinazoenda mjini saba saba, ukifika mjini panda hiace zinazoenda ntyuka eeh ndio jina ilo ilo sijakosea.... shuka mwisho wa gari alafu nenda mbele barabara inapoelekea upande wa kulia utaiona iyo guest ni Local flani ila kama huna hela inaweza kufaa.
Kuna piki piki nauli ilikuwa 1kKutoka hapo hamna usafiri hata wa Bajaj kwenda UDOM?
malaya malaya wote wa dar wanaendaga kujikusanyia pale na kufanya biashara yao ya nyuchiMakole lodge
Na huo mtaa wa makole Kuna Lodge nyingi sana!! 15000/- tu .
Shida jina ndio sikumbuki mkuuInaitwaje mkuu
Usafiri upo sabasaba utapanda daladala au bajaji wewe tu
Sikieni sasa kama huna kabisa hela, kuna guest moja bei ni 5k choo nje, na 7k(self) kama sijasahau, hii ipo karibu kabisa na Chuo yani unakiona chuo kile pale na unaweza ukatembea kabisa ila kuna mwendo.
Jinsi ya kufika: ukifika stend ya Mabasi panda gari zinazoenda mjini saba saba, ukifika mjini panda hiace zinazoenda ntyuka eeh ndio jina ilo ilo sijakosea.... shuka mwisho wa gari alafu nenda mbele barabara inapoelekea upande wa kulia utaiona iyo guest ni Local flani ila kama huna hela inaweza kufaa.
Sina gari maalum, huwa naangalia bei ya nauli, kama natokea Dar kwenda Dom napanda gari yoyote inayoenda Dom au kupita Dom.
Ila magari kama Champion, Mshikamano, Kapricon(nishawahi kulipanda) siwezi kuyapanda yamecho sana
Chimbo lingine ni kwenye hostel za veta hapo Dodoma karibu na Bunge
Ni pahala salama kabisa kwa bei nafuu sana
Sidhani kama ni nzuri kujiandaa na interview za utumishi nafikiri ni vyema ukaenda mapema ili hata akili iwe imetulia na lodge za bei rahisi zipo makulu pale karibu na udom utumishiWazo zuri sana, hili si linamaanisha kupanda malori yale ya IT na magari binafsi?

Wewe lala guest kwa ndugu sio, hata mi dodoma Nina ndugu, mikoa mingi Nina ndugu lakini nikienda nafikia Lodge, tunaonana mitaani kusalimiana narudi Lodge kulala, mambo ya kulala Kwa ndugu utakuja gombanisha mtu na mkewe au mumewe bureMm nin kak angu huwa nafika ddm ila nalazimik kutafuta guest kwa maana sielewi kwann huwa anipeleki kwake
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ahsante sana mkuu kwa mrejesho, mtie moyo asiogope hawezi kujua lolote laweza kutokea.Ndugu Mwifwa na wengine wote, asanteni sana kwa ule ushauri chanya, wakati mdogo wangu kwenye tangazo la kuitwa kwenye Usaili yupo lakini kwenye mfumo wa Utumishi akaunti yake ilikuwa kimya. Hatimaye ameona mabadiliko, na amepewa Namba pamoja na maelekezo ya venue.
Balaa liko kwenye ujasiri wa kwenda kuwania nafasi moja kati ya Sita miongoni mwa walioitwa 2455.
Japo kuna binti namfahamu, alipita na kupata kazi kwenye zaidi ya watu 1000 waliokuwa wanapigania nafasi 1 ya uhandisi na hana koneksheni wala pesa.