Uzi wa sehemu za gharama nafuu kulala kwa wanaokwenda kwenye saili Dodoma

Uzi wa sehemu za gharama nafuu kulala kwa wanaokwenda kwenye saili Dodoma

Mkuu possible za NAOT ni zipi , auditor II

Mkuu, asante kwa swali zuri japo hakuna uchawi wa kupata mtu mwenye jibu la uhakika wa asilimia mia moja zote, kwa uzoefu wangu, nafasi za namna hii ambazo zimeita watu waliosoma vitu tofauti vingi, mara nyingi maswali yake yanaangukia kwenye makundi 3 kama ifuatavyo:

1. Ufahamu wa maarifa ya kazi husika, kwa mfano hii nafasi ya Auditing, tenga muda wakuwa na basic understanding kuhusu auditing bila ya kusahau kuyajua majukumu ya CAG pamoja na Ofisi yake.

2. Research, hakikisha unauelewa wa msingi kuhusiana na mambo mbali mbali yanayohusiana na tafiti.

3. Job description uielewe na uweze kujitetea ukiulizwa chochote (hii mara nyingi ni utakapopita kwenye Oral, ila Written ni mara chache sana).

Ni hayo mkuu.
 
Wale wa kulala kwenye gari usiku wa kuamkia siku ya usahili nyoosheni mikono juu. Niwakute pale Kibo kuanzia saa moja usiku tarehe 26 kwa wanaotokea Dar. Tunageuza mara baada ya usahili (tarehe 27). Yaani hatusubirii matokeo ya kwenda oral tarehe 07
 
hiyo inarisk sana mzee safari ni hatua inatakiwa ufike mapema
 
Wale wa kulala kwenye gari usiku wa kuamkia siku ya usahili nyoosheni mikono juu. Niwakute pale Kibo kuanzia saa moja usiku tarehe 26 kwa wanaotokea Dar. Tunageuza mara baada ya usahili (tarehe 27). Yaani hatusubirii matokeo ya kwenda oral tarehe 07

Hahaha, nakuelewa Mkuu risk takers na watu wanaochelewa kwa sababu mbali mbali ikiwemo changamoto ya kifedha na muda huwa hawakosekani.

Naamini watu watakutafute mjumuike pamoja.
 
Sasa kama mtu anaenda usahili wa sita mchana hata gari ukiharibikia njiani bado atafika mapema tuu.
NB: Njia ya Dar-Dom hailali. 24hrs/7 kuna usafiri
Ni kweli lakini amini hiyo inayosema usafiri ni 24/7 inataka uwe na hela yakutosha otherwise itakua uongo mzee
 
Kuna kipindi jamaa zangu walipiga kambi (kulala) pale pale UDOM kuamkia siku ya usahili wa written na wengine hadi oral siku ya tatu
Endapo chuo kikiwa kimefunguliwa hilo halishindikani.
 
Kuna paper Moja iv la TRA niliona watu wamekuja kujisomea mchana pale CBE nasikia walitoboa adi asubuh pale madarasan then alfajir wakaenda tu pale sabasaba wakapanda daladala wakaenda kwenye usail[emoji28] naiv pale ni karib na 77
Walijisomea kwenye madarasa au? Sasa ina maana madarasa huwa hayafungwi?
 
Kuna paper Moja iv la TRA niliona watu wamekuja kujisomea mchana pale CBE nasikia walitoboa adi asubuh pale madarasan then alfajir wakaenda tu pale sabasaba wakapanda daladala wakaenda kwenye usail[emoji28] naiv pale ni karib na 77
Waliyakuta yamo au walikesha bure?[emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom