HS CODE
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 1,784
- 4,376
- Thread starter
- #761
Mkuu possible za NAOT ni zipi , auditor II
Mkuu, asante kwa swali zuri japo hakuna uchawi wa kupata mtu mwenye jibu la uhakika wa asilimia mia moja zote, kwa uzoefu wangu, nafasi za namna hii ambazo zimeita watu waliosoma vitu tofauti vingi, mara nyingi maswali yake yanaangukia kwenye makundi 3 kama ifuatavyo:
1. Ufahamu wa maarifa ya kazi husika, kwa mfano hii nafasi ya Auditing, tenga muda wakuwa na basic understanding kuhusu auditing bila ya kusahau kuyajua majukumu ya CAG pamoja na Ofisi yake.
2. Research, hakikisha unauelewa wa msingi kuhusiana na mambo mbali mbali yanayohusiana na tafiti.
3. Job description uielewe na uweze kujitetea ukiulizwa chochote (hii mara nyingi ni utakapopita kwenye Oral, ila Written ni mara chache sana).
Ni hayo mkuu.