Uchaguzi 2020 Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA waendelea, Kawe kumewaka moto leo

Acha uongo wewe umepiga picha watu wa mwisho. Watu wapo wachache ila sio kwa hiyo picha yako
Kuna link ya live angalia hapo, acha kelele! Kwanza umeenda kawe au unapiga kelele tu kwenye keuyborad?
 
Ninini tofauti ya CCM na TBC!?
Huko kwenye vichwa vyenu kuna nini?
 
Tusichojua wengi ni kuwa kukosekana kwa watu kwenye mikutano ni jambo la sasa. Hii ni safari iliyotengenezwa mra baada ya uchaguzi wa 2015.

Kuhudhuria mkutano ni tabia inayojengwa. Mikutano ilizuiliwa. Watu hawana hakika kama kuna salama kwenye mikutano hii (rejea issue ya Acquilina). Wananchi wanaogopa mikutano isipokuwa ya CCM.

Na sio huu tu wa CHADEMA. Mikutano yote isiyo ya CCM itakuwa na hali mbaya zaidi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…