Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,452
- 8,670
Nipo hapa msonge, sitaki hata kugeuza shingo kuangalia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leta picha, acha kutema mashudu, tunataka picha hatutaki maneno, Mbona kamera zipo high table tu? Tupelekeni kwa raiaKumbe na wewe ni mpumbavu uliyepooza.
Mmewekewa link lakini bado mnaendeleza ujinga.
Kuna link ya live angalia hapo, acha kelele! Kwanza umeenda kawe au unapiga kelele tu kwenye keuyborad?Acha uongo wewe umepiga picha watu wa mwisho. Watu wapo wachache ila sio kwa hiyo picha yako
Hahahaaaa....... kajificha uvunguni!Mmawia hapokei simu sasa hivi. Hii nini hii? Oooh sisiemu wanabeba watu ktk matuso, hii nini?
Wanajaribu kutafuta uwanja mdogo wapate angle kupiga picha ,drones bila usajili hairuki!Haikufaa 'Rangi' itafaa 'Chokaa' Mkuu?
Bwashee tupia picha za mkutano!Wewe ndiye tatizo
Ninini tofauti ya CCM na TBC!?Sasa hiyo mnakuwa mnawatenga wa nyuma hawaonekani mkuu, mmechukuwa tu wa mbele na anga kana kwamba wanaenda mbinguni, wekeni aerial view inayoonesha washiriki wote kabisa.. vivuli vinaonesha kabisa jua likielekea kuzama yaani ni kuelekea mwisho wa mkutano mkuu. View attachment 1551691
Kusajili kuna uhusiano gani na jambo linaloongelewa hapa!?Wanajaribu kutafuta uwanja mdogo wapate angle kupiga picha ,drones bila usajili hairuki!
Mwaka 2015na hapa ni wapi ?View attachment 1551685
Nipo Kawe mkuu. Soma comment yangu tenaKuna link ya live angalia hapo, acha kelele! Kwanza umeenda kawe au unapiga kelele tu kwenye keuyborad?
🤣🤣🤣🤣Nolstagia.....
View attachment 1552011
Me ninge wa Kabidhi kwa raia wenye hasira kali wafanye yao iwe fundisho!MIMI NINGEWAPA DK 5 TBC WAONDOKE
Ya saizi hiyo mkuu, Kawe hapo, sio ya TBC.Ninini tofauti ya CCM na TBC!?
Huko kwenye vichwa vyenu kuna nini?
Sifa unatafuta ww kwa kuwadanganya pimbi wenzio wa ccm..Acha ujinga wewe! Unatafuta sifa humu jf wakati kwenye mkutano huji