Uchaguzi 2020 Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA waendelea, Kawe kumewaka moto leo

sasa kama watu kwaupendo wao wameamua kwenda kushuhudia uzinduzi wa chama pendwa ulitaka waende kwa miguu? mmekwisha chadema na shoga lenu lissu
 
Aibu ya Jana ndo imewafanya waogope hata kupost.
Ni kweli jana hawakujipanga! Unafunguaje kampeni siku ya kazi (ijumaa)? Na hawakutangaza kivile sababu watu wengi hawakujua kama kuna huo mkutano wa kampeni hiyo jana. Halafu kwenye eneo ambalo Chadema hawana nguvu kisiasa. Hawajawahi kushinda ubunge huko Mbagala au Temeke. Lile ni eneo la ACT (au CUF ya enzi zile). Hapohapo si tabia yao kubeba watu kwenye malori kujaza hilo eneo. Kosa sio kosa bali kurudia kosa. Wana siku 59 za kurekebisha haya mapungufu makubwa!
 
Lumumba nendeni kwenye uzi wenu naona mmevamia uzi
 
Chama cha saccoss kwa kweli, na mnatembeza bakuli la kuchangishana, wakati huwa mnawakata wabunge pesa ambayo mnadai kuwa ni kwa ajili ya kuendesha kampeni, CDM bado sana sana
 
Na mikusanyiko ya sherehe hiyo ya tamasha la wasanii pale Jamhuri inaendelea kwa malori yaliyofuata watu Mpwapwa, Kongwa, Bahi nk.
Sherehe ya siku moja ya wasanii na tabu ya maisha miaka mitano hilo halihitaji digrii kuelewa mtu anachagua nini!
Mimi niko hapa Manyoni nashangaa hadi huku Fuso ziko bize zimepita alufajiri hahahaa!!! CCM inawatapeli Watanzania
 
Hawa ni watu au ng'ombe wanapelekwa mnadani?
 
Aongee sera na kwa nini yeye na si wengine ?
Dada Victoire! Nimeona umekomalia hili la kuwaomba wanadi 'sera' zao sana. Bado kuna mapingamizi/ kuenguliwa kwingi hakujatolewa uamuzi na Tume. Ni zaidi ya hao wabunge 18 waliotangazwa jana na Tume kupita bila kupingwa. Wakianza tu kunadi sera kama unavyowahimiza na itokee Tume ibariki huko kuenguliwa kote kwa wapinzani ushindi wa uchaguzi unakuwa umeshaenda chama tawala kupitia meza za Wasimamizi wa uchaguzi na Tume. Unahitaji kujiondoa ufahamu ili kuendelea kunadi 'sera' katika mazingira ya aina hii. Kwenye hili wamefanya uamuzi wenye tija.......ingawaje itachukua muda kwa baadhi ya watu kuuelewa........
 
Chama cha saccoss kwa kweli, na mnatembeza bakuli la kuchangishana, wakati huwa mnawakata wabunge pesa ambayo mnadai kuwa ni kwa ajili ya kuendesha kampeni, CDM bado sana sana
Ninyi yapata sasa miaka 60 mnaendelea kutupora. Mbona hamshibi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…