Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Kizuri chajiuza na kibaya(ccm) chajitangaza.Kumtoa mtu ndani kwake hadi aje kusikiliza sera zako ni jambo ambalo linahitaji technique nyingi. Kwanza hamasa
CHADEMA hamkua na hamasa yoyote ya kuhamasisha watu juu ya uzinduzi wa kampeni yenu, amsha amsha hazikuepo kama zile enzi za Dkt. Slaa.
Hamkua na vitu vya kushawishi watu waje zaidi ya Lissu, hamuoni CCM wanakodi mpaka wasanii ili wajaze uwanja?
CHADEMA mnafeli, Katibu Mkuu umefeli.
Kiujumla mmefeli nyote na mkiendelea hivyo hivyo mtapoteza mvuto kabisa.
uliona wapi mashabiki wa yanga wanapanda malori kwenda kuishabikia SIMBA😂😂😂View attachment 1551769
Mbusii...
Diamond na Harmonize wataimba leo ?Vp dom misambwanda bd hawajapandishwa watoe burdan
Ova
Hapo ni photoshopna hapa ni wapi ?View attachment 1551685
Wacheza show wao Wana misambwandaDiamond na Harmonize wataimba leo ?
Jana hiyoHapo ni photoshop
Nguvu ya kamanda amsterdam auUngejua Nguvu iliyoko mitandaoni ungejidharau sana !
Acha kuwewesekaKawe netwok ya mitandao imekata, leo hamna kuelekezana mambo ya miamala!
Haieleweki kama unapinga au unalia !Nguvu ya kamanda amsterdam au
Sema watz wengi waoga sana wa mabadiliko, halafu wengi hawatambui haki zao.Haieleweki kama unapinga au unalia !
HahahahaaaaaDodoma tunaingia "wanyonge" kuona wasanii. Twajua mawili yanatukabili;
1. Kurudi kwa miguu nyumbani kwani baadae hakuna cha Lori na hilo la kutoswa tumelizoea.
2. Kura yetu haiwezi kununuliwa na wakata viuno jukwaani kwa siku moja. Sherehe hazita tuletea maisha bora na watoto wetu.View attachment 1551687View attachment 1551688
Heri kuomba waziwazi kuliko kupora na kunyang'anya, hapo ni tendo la hiari kule ni unyang'anyiTutegemee Mambo Kama haya Jana na leo. Pia tegemea idadi ya watu kushuka kwa kasi sana.
Front siti kabisa. Kule idyodyomiya kuna tamasha la wanamuziki 200+
Muda huu ndio kapanda msanii wa 96 bado 104 baada ya hapo ndio HUTUbaHahahaa, tbccm nayo ipo mbashara kuonesha mauno!!! Leo haikatikikatiki.
Uzinduzi huwa unafanyika mara ngapi?Rais Mtarajiwa wa Tanzania ambaye pia ni Mgombea Urais wa Chadema Mh Tundu Lissu, ambaye wachambuzi wa kisiasa wanamkadiria kujinyakulia zaidi ya 70% ya kura zote, leo tena anaingia kwenye viwanja vya Tanganyika Packers kuongea na wananchi.