Uchaguzi 2020 Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA waendelea, Kawe kumewaka moto leo


Yaani hapa ndo mnaponishinda tabia na upeo... Idadi ya watu kwenye mikutano ya kisiasa haina tija kama wasimamizi wa uchaguzi wakoupande wa watawala...!
Labda mnambie waingie barabarani kwa idadi hiyo hiyo kudai kurejeshwa kwa wagombea na kushinikiza kuondolewa kwa wasimamizi waliochini ya watawala...!
 
Hilo ni boti lizamalo, halina dawa.
 
Unalipwa kwa mwezi? Kama ni kwa siku Hemu uwahi haraka!
 


Walitoka nyumbani kwa nauli zao na mchango kwa kampeni ya Lissu wametoa.
 
Mbona nimesikia ITV wakisema ni mamia hapo wasafi wanasema ni maelfu sasa tumuamini yupi
 
Matangazo ni lazima ulipe Manispaa, juzi walienda wakakuta mizengwe hadi ikashindikana... Sasa unataka wafanye nini
 
Kumtukana Magufuli ni kuwatukana Watanzania wote

Achilia mbali madhambi yake kama binadamu wengine, Lakini huyu ndiye tuliyetakiwa kumchagua Baada tu ya Nyerere

Hivi Kwa mf Chadema wanalo Jambo gani jipya ambalo litazidi Yale Magufuli anayasimiamia na kuyatekeleza?
 
Ccm oyeeee
 
Mbona umedoda vile?
Wa Dodoma umedoda unaota ulikuwa Live TV zote utamdanganya Nini toka asubuhi TV zote zilikuwa Live huhitaji kumsimulia mtu

Huo uzinduzi wa kawe vichochoroni ambao hauko live ndio umedoda uzinduzi utafikiri ushirikina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…