Uchaguzi 2020 Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA waendelea, Kawe kumewaka moto leo

Yaani nia aibu kubwa hapa Kawe... tuliwaambia jana kama mmeshindwa Mbagala mtaweza Kawe. Hapa leo Kawe ni aibu kweli kweli hakuna watu kabisa.
 
Hiyo mpesa si kampuni ya vodacom ambayo siku kadhaa tuliona viongozi wake wa chadema wakikata laini zake kwa kususia, imekuwaje tena?? Au zilikuwa hasira za mkizi tu.?
 
Reactions: UCD
Kumekucha Lisu kagoma kwenda kuhutubia Mkutano Kawe kwa Halima Mdee inasemekana Wana bifu Halima Mdee alikuwa akionyesha wazi hamtaki Lisu.Hivyo kasingizia hajisikii vizuri kagoma kwenda Kawe

Godless Lema naye kaanda mkutano wake uzinduzi kesho aliandika matangazo kuwa Lisu atakuwepo kuvutia watu wake wakati anajua Lisu hatakuwepo kesho atakuwa kwenye mkutano wa siku ya tatu ya uzinduzi Segerea.Lema badala ya kusubiri Lisu amalize Dar segerea kwa Mrema kaamua kujiwekea wa kwake Unga Limited Arusha na anatumia jina la Lisu Kama kivutio huku akijua fika hatakuwepo!!! Na hawaivi kabisa Lema na Lisu sababu Lema naye alikuwa hataki Lisu agombee wazi wazi

Mtifuano umeshaanza chadema
 
Yaani nia aibu kubwa hapa Kawe... tuliwaambia jana kama mmeshindwa Mbagala mtaweza Kawe. Hapa leo Kawe ni aibu kweli kweli hakuna watu kabisa.
Ndio maana hawataki kurusha live hata online tu wanaogopa aibu.

Safari hii Lisu ndio ataelewa kuwa he is not a presidential material mitaani!! Hata mbagala tu hawamkubali na bado .Yeye anafikiri mitaani Ni sawa na Twitter, YouTube ,jamii forums na BBC online
 
Yaani nia aibu kubwa hapa Kawe... tuliwaambia jana kama mmeshindwa Mbagala mtaweza Kawe. Hapa leo Kawe ni aibu kweli kweli hakuna watu kabisa.
Picha mkuu
 
Basi wekeni nyie mlio karibu nasi wa mbali tuone. Vinginevyo hamtajitofautisha nao
ukipiga picha wanakupiga makofi Wana ma bouncer wanasema Ni waandishi tu waliowaalika ndio wapige

Wakiona unanyanyua simu yako unakunjwa shati au gauni

Wanaminya Uhuru wa habari wa yeyote kuchukua picha
 
LETE ARIAL PHOTO, HATA WANAFUNZI WAKIFOLENI UKIPIGA KWA MBELE WANAONEKANA WWNGI, HAPO MMEFELI, NA MTAFELI SANA. BORA HATA HIZO PICHA FAKE MSIPIGE. MIRIJA YA FEDHA ZA MABEBERU ZINEKATWA. HATUTAKI MUWEKE NCHI YETU REHANI. MLIKUWA MKIWAKUSANYA VIJANA KWA ALFU 5, SASA NDIO TUNAIONA CHADEMA INAELEKEA KUZIMU. TANZANIA ARE NOT AFTER SYMPATHY . IT IS HISTORY NOW. MAGU KANYAGA TWENDE BABA😁😁
 
ukipiga picha wanakupiga makofi Wana ma bouncer wanasema Ni waandishi tu waliowaalika ndio wapige

Wakiona unanyanyua simu yako unakunjwa shati au gauni

Wanaminya Uhuru wa habari wa yeyote kuchukua picha
Nipo hapa kawe, watu wanapiga picha hakuna anepigwa, sema simu yangu ni ni nokia tochi ndio maana sijaweza kupiga picha otherwise ningeweka picha hapa watu washuhudie nyomi
 
Kujaza uwanja ili iweje??? Unahama na watu kila mahali. Chadema hawajitekenyi na kucheka wenyewe
 
Kumchagua magufuli ni sawa na kuchagua kuishi kuzimu kwa miaka mingine mitano
 

HII NI SIKU YA UFUNGUZI, NA MAGU MWENYEWE KASEMA WAPO WALIOTOKA MPAKA MTWARA, BCOZ NI SIKU YA UFUNGUZI, ALICHOKISEMA PALE, KILA MGOMBEA UBUNGE NDIO ANAONDOKA NACHO KWENDA KU AMPLIFY HUKO MAJIMBONI. MTAIONA NAMBA MWAKA HUU..

JANA MMEPIMA MAJI YAMEKUWA MAREFU, MMNABADILI GIA ANGANI, KUANZA FUJO ZA MAANDAMANO ILI MPORE VITU VYA WATU, MKITULIIZWA, MNATAKA HURUMA ZA MATAIFA YA NJE. HATA HAO HAWADANYIKA WASHAONA HAMNA NGUVU KUCHUKUA NCHI KWANI HAWAWEZI KUJA KUTEGA MIRIJA YAO KWENYE RASILIMALI ZETU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…