Valentine imekaribia, ungependa member gani awe valentine wako?

Bi
Februari 14 sio mbali sana, kama ungepata nafasi ya kumchagua mtu wa kuwa naye hiyo siku ya valentine ila kwa sharti awe member wa Jamii Forums, je?

Ungemchagua nani na ungependa kwenda naye wapi kurelax.
Binti wa Zamani
 
Kuku robo, chips kavu, kuwe na mayonise, tamarind na udambwi udambwi but not salad
Alafu badae ninunuliwe red wine ninywe nikiwa natizama maji.
Aaah bajet nzuri kabisa, hata 50k humalizi....14 ferb ifike chap chap
 
Sitaji jina ila awe na sifa hizi tako kubwa,mweupe

Over
 
Dr. Mariposa naomba rudia sijasikia nimepitwa kipenzi 😍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…