dada nilishiriki had Goba marathon january na nilienda 10kms. natumia two hoursKwani kuzunguka kiwanja ni kama kms ngap? Maana mm napoishi kufika road ni 8kms na ni mbali .sasa nashangaa 10kms
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dada nilishiriki had Goba marathon january na nilienda 10kms. natumia two hoursKwani kuzunguka kiwanja ni kama kms ngap? Maana mm napoishi kufika road ni 8kms na ni mbali .sasa nashangaa 10kms
kwa sasa kiukweli nimeamua nimepunguza mno kula japo vishawishi vingi mno katika kipindi hiki nilikutana na offer moja ninayoipenda lunch wali samaki mkubwa na maharage na saladi nikasema pita kule.Kupungua inahitaji wito sana aise..ujitoe haswa
maji ni ya msingi sana kipindi hiki na kuongeza movement tunahitaji kupungua ila huu ukali wenu wa maneno ni hatari.Kabisa mkuu, nilijaribu kufata nikafanikiwa,ukiwa mnene njaa ikiuma unaeza hisi unakufa😁
🤣🤣🤣🤣! Mimi coke sijui kama nimelogezewa...dah...! Siwez acha kula nyama au samaki...kitu sili kbs ni porkkwa sasa kiukweli nimeamua nimepunguza mno kula japo vishawishi vingi mno katika kipindi hiki nilikutana na offer moja ninayoipenda lunch wali samaki mkubwa na maharage na saladi nikasema pita kule.
siku nyingine nikakutana na ugali makange angalau hapa nikaagiza ndizi za kuchoma na mishkaki miwili
kiukweli naenda vizuri japo kuacha soda sio mchezo nimefanikiwa kwa sasa.
We ni kemaji ni ya msingi sana kipindi hiki na kuongeza movement tunahitaji kupungua ila huu ukali wenu wa maneno ni hatari.
siku moja nilikaa na watu walinishambulia kuhusu unene nikawajibu kwani nimewaambia kuwa nataka kupungua nilijitetea mpaka wakacheka lakni ndani kwangu nilijua hii leo nimepigwa.
🙌🙌dada nilishiriki had Goba marathon january na nilienda 10kms. natumia two hours
Kauli yako hii ya "njaa iko akilini tumboni ni store tu" nitaitumia sana kuwasaidia vibonge wanye bidii ya kupunguamaji ni ya msingi sana kipindi hiki na kuongeza movement tunahitaji kupungua ila huu ukali wenu wa maneno ni hatari.
siku moja nilikaa na watu walinishambulia kuhusu unene nikawajibu kwani nimewaambia kuwa nataka kupungua nilijitetea mpaka wakacheka lakni ndani kwangu nilijua hii leo nimepigwa.
Ukizoea ni vtu vya kawaida sana, ndo utasikia unaitwa kibonge mwepesi ss mana kila ktu unafanya ova mwembamba
I wishUkizoea ni vtu vya kawaida sana, ndo utasikia unaitwa kibonge mwepesi ss mana kila ktu unafanya ova mwembamba
Anza utaweza. mi siku ya kwanza nilienda km 2 nililalamika siku nzimaI wish
wafanye bidii kupungua!Kauli yako hii ya "njaa iko akilini tumboni ni store tu" nitaitumia sana kuwasaidia vibonge wanye bidii ya kupungua
Do! umewaza nini? mimi mwanamume sio tu wakiumeWe ni ke
Nop..niliuliza kwa nia njema...thanksDo! umewaza nini? mimi mwanamume sio tu wakiume
bishana na nature, ila wembamba ndo upo si ndio?Hamna unene wa kurithi
Hata hamna wembamba wa kurithibishana na nature, ila wembamba ndo upo si ndio?
usiogope napenda jokes !Nop..niliuliza kwa nia njema...thanks
Haaaa!Hahahaa unashindia mtindi? Aku...siwezi mie hapa nimekula slace za maana 4 zina siagi karanga na chai ya haja ..nimeagiza ubuyu nile weee...saa 7 nakula lunch...saa10 naweza kaanga mayai nile na wanangu ..12 nakunywa maziwa moto(kuna baridi) saa2 dinner .! Kutoka hapo nakula bites had nalala🤸♂️