Vicoba vitamaliza wake zetu


Umeongea ukweli wote,asieelewa amwache mkewe aendelee na Hiyo biashara ya vicoba
 
Nakubaliana na ww 100% mwanamke mcheza vikoba ni janga la taifa lzm akufuruge in one way or another(yakikukuta utaamin)
 
Uko sahihi kabisa.... Nakuunga mkono broo
 
Habari za Jumapili,

Vikoba vimekuwa ni chanzo cha ugomvi katika familia nyingi. Imefikia wanawake kuliwa na bodaboda nk. kwa lengo la kupata pesa kwa ajili ya kulipa marejesho...
Kuna moja hapa kitaa inaitwa chupi mkononi ni hatari wake za watu wanaliwa sana
 
Kila nikikutana na Kumi (10) ni lazima tu Saba (7) kati yao nitawagundua kama vile wako disturbed Mentally na wanajuta kuwa / kuingia Vikobani.

Vikoba vimesaidia sana Kuharibu Saikolojia ya Wanawake wengi nchini Tanzania na hasa hasa katika Mkoa wa Dar es Salaam na kwa ninachokiona huenda huko Vikobani Madaktari wa Kutibu Magonjwa ya Akili nao wakawa Wanaalikwa pia ili Kutibu Akili zilizochanganyikiwa za wana Vikoba.
 
Wadau Utabiri wa LEMA juu ya VIKOBA hatimae Umetimia . BINTI mbichi kabisa kutokana na Kushindwa KULIPA fedha za VIKOBA Tshs.300,000/= Ameamua KUJIUA ili Kukwepa DENI hilo .Tuwe Wakweli BINTI huyo angekopeshwa na ule MFUKO wa HALMASHAURI siamini kabisa kama HALMASHAURI ingemdai kwa NGUVU kama Alivyodaiwa Mtaani kiasi cha KUAMUA KUJIUA.
SERIKALI iangalie namna ya Kuwanusuru hawa MABINTI na Kina MAMA juu ya KUWAKOPESHA kupitia HALMASHAURI ukweli Usemwe VIKOBA ni UMASIKINI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…