Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
R.I.P Johari Tarimo
Bahati mbaya Sana wanawake, wadada kwa ujumla ndio wahanga wakuu wa vicoba na michezo(ule mtindo wa kupeana hela kiasi kadhaa , alafu kila siku/wiki/mwezi mtu mmoja anatoka mpaka mzunguko unaisha )
Mwanaume unaejielewa huwezi kuruhusu mke/mpenzi wako akashiriki kwenye huu upuuzi! Mda mwingine wanawake wanajikuta wanaingia katika madeni ama hata kusaliti mahusiano kisa tu apate hela ya mchezo ! Na huko majumbani mnabana bajeti na kusingizia mahitaji yasiyo ya lazima kisa tu hela ya vicoba/michezo !
Hela yako mwenyewe huwezi kuitunza ? Mpaka umpe mtu akutunzie ? Tengeneza kibubu tunza, ama tunza kwenye simu/account bank! Ishu Ni kwamba ukishajiwekea malengo kila siku/wiki/mwezi natunza kiasi kadhaa kulingana na kipato chako unashindwaje ? Na ukiona huwezi kujisimamia kwenye Mambo madogo Kama hayo jitafakari Sana na uelewa wako !
Siku hizi sio wadada mpaka wake za watu wamekuwa Ni watu wa vibomu tu kila mda,,, unasikia hela ya mchezo, Mara sijui mwezi ujao tunavunja kikoba chetu, niazime hela ntakurudishia ! Hii imekuwa too much, niwaibie Siri huko mahofisini mpaka mitaani wake/wachumba zetu wanachapika Sana kwa tamaa zao hizi ndogo ndogo !
Boda boda, wauza maduka(mangi), wauza chips , wauza magenge, wauza mabucha, workmates wanawala Sana wake/na wachumba zetu ! Mazoea mazoea tu unakuta mtu ana uhakika mtu flani kila siku ananipa 5000 ya mchezo kwa Nini asikuvulie ch****pi ?
Maisha bila michezo/vicoba hayaendi ? siku hizi mtu unakuta kwenye simu ana group la michezo,,, kila ikifika muda flani anatuma hela zinakusanywa mhusika anapewa ! Unakuta mtu anazo group hata tatu eti michezo !
Ewe mwanaume kataa mpenzi/mke/mchumba kushiriki huu upuuzi ama ukubali uchapiwe kwa Sana na hela upigwe ,, !
sureUmeongea ukweli wote,asieelewa amwache mkewe aendelee na Hiyo biashara ya vicoba
Uko sahihi kabisa.... Nakuunga mkono brooNinachojua na nina uhakika nacho Kiuzoefu ni kwamba 90% ya Wadada / Wanawake walioko katika VIKOBA ni Wasaliti kwa Waume na Wapenzi wao halafu ndiyo Wanaongoza kwa Uwongo na ni wapenda Ushirikina huku wakiwa na PhD's za kupenda Majungu na Wivu wa Kipumbavu.
Kuna moja hapa kitaa inaitwa chupi mkononi ni hatari wake za watu wanaliwa sanaHabari za Jumapili,
Vikoba vimekuwa ni chanzo cha ugomvi katika familia nyingi. Imefikia wanawake kuliwa na bodaboda nk. kwa lengo la kupata pesa kwa ajili ya kulipa marejesho...