Video: Huyu mstaafu aliwakosea nini Jeshi La Polisi? Kosa lake ni kukaa kijiweni?

Jeshi la police unafukuzwa Kama mwanafunzi wa seminary Yani gafla TU huna kazi.

Marehemu babu yangu alikataza watoto wake wasiingie kazi za upolisi
Kuna brother wangu mmoja alifukuzwa kazi kisa kumpiga mkuu wake wa kazi walipo pishana kauli...


 
Kwani huyo askari anakula shilingi ngapi hadi ang'ake namna hio, mfano tu boss wake RPC naskia nakulaga M2.5 basic.
 
Usikute mwezake usalama yupo kazini apo ila polisi ana reasoning over. Muulizaji ana panic kuliko anae ulizwa kwa confidence ya uyo anae jibu kwa watu wa sychology tunaelewa
 
amestaafu kwa ugonjwa anabangaiza , bado mnamfata nyuma mnataka ashike BUNDUKI
 
Kwa style hii Sativa Yuko sahihi kuwamwagia upupu sababu hawajui mipaka ya kazi zao
 
kuna mzee wangu mjeda mstaafu, basi tunakunywa nae gongo polisi wakija wanachimbwaje biti, utasikia we mzee acha hizo
 
Huyo polisi ni kama anaona kesho yake safiiiii.. Mnyanyasaji na kurekofi juu... Hafai upolisi

Ndio maana jamii haiwezi kusaidia mengi mapolisi
 
Tatizo kazi ya upolisi inamfanya mtu awe kama mbwa.....kila mtu anayekutana naye anataka kumbwekea bila sababu za msingi✍️
 
Hiyo sauti ni kama ya aliyekua kamanda wa mkoa wa Dodoma Gilles Muroto,ambaye hata yeye sasa hivi ni mstaafu,

Nakumbuka ile kauli yake ya "Kipigo watakachokipata ni cha Mbwa koko''
Ndio ni yeye. Unakumbuka video moja alikuwa anawashika vitambi wezi anawauliza: mtu mwizi unakuwaje na kitambi? Anapenda sana sifa yule mzee. Mungu anamuona.
 
Watu kama huyu polisi kwenye jamii yetu huwa tunawalaani sana. Tunawaombea wafe wakiwa wamechomeka kidole makalioni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…