Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Jeshi la police unafukuzwa Kama mwanafunzi wa seminary Yani gafla TU huna kazi.
Marehemu babu yangu alikataza watoto wake wasiingie kazi za upolisi
Kuna brother wangu mmoja alifukuzwa kazi kisa kumpiga mkuu wake wa kazi walipo pishana kauli...
Marehemu babu yangu alikataza watoto wake wasiingie kazi za upolisi
Kuna brother wangu mmoja alifukuzwa kazi kisa kumpiga mkuu wake wa kazi walipo pishana kauli...
Mungu alivyo na maajabu ipo siku tu atampitisha njia hiyo hiyo huyo mwenzake anayeipitia tena yake itakuwa ngumu zaidi. Mzee wa watu kajieleza vizuri kabisa jinsi anavyopambana stendi walau familia yake ipate chochote kitu lakini jamaa wapi anampiga mzee wa watu maswali ya kumdhalilisha.