DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
hayo kayaweka wayajdili toka siku ya kwanza walikuwa wapi wakayasusia?..Samia angekuwa mkweli kuhusu reconciliation angeunda Tume ya Haki, Ukweli, na Maridhiano, ili wote waliokosewa wakasikilizwe.
..Pia kitendo cha Samia kutowaondoa ktk nafasi zao wote waliohusika na matendo ya kikatili, na kuwapandisha vyeo wengine kama CP Kingai, ni uthibitisho kwamba hakuwa na nia njema na maridhiano.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda amependekeza kufanyike mdahalo wa wazi kati yake na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ili Watanzania wachague ikiwa wataendelea na maandamano au kuchagua maridhiano.
Credit : Swahili Times
Sioni mtu wa kuandamana,watanzania sio wajinga ambao wanaweza pelekwa na vibaraka wa wazungu ili kuvuruga amani na mstakabali wa taifa letu.Mwenyeki wangu makonda huhitaji kuwa na hofu juu ya hawa watu .
hayo kayaweka wayajdili toka siku ya kwanza walikuwa wapi wakayasusia?
Wewe kitu usichokielewa, mchaga akikubali maridhiano ulaji wa wafadhili anaowategemea utakata.
MAKONDA ATAWAGARAGAZA VIBAYA SANA KWA HOJA
HAWA VICHWA TENGA
mdahalo na puppet? 🐒
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda amependekeza kufanyike mdahalo wa wazi kati yake na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ili Watanzania wachague ikiwa wataendelea na maandamano au kuchagua maridhiano.
Credit : Swahili Times
hayo kayaweka wayajdili toka siku ya kwanza walikuwa wapi wakayasusia?
Wewe kitu usichokielewa, mchaga akikubali maridhiano ulaji wa wafadhili anaowategemea utakata.
Akiwa na Tundu Lissu anamwambia twebda na marudhiano. akiwa peke yake anasema maandamano.
Maandamanoi yanahusu nini? Kama si ujinga tu?
Hana ubunifu, ameshindwa maandamano ya Arusha watu wakafa, akashindwa maandamani ya Dar watu wakafa sasa anataka kumwaga damu nyingine?
Kwa mama Samia kamkuta, naamini atasema waache waandamane. Hapo ndiyo itakuwa wamjimaliza kabisa.
Ukishaandamana ukawasilisha yako una nini kingine zaidi?
Huyo hana sera na mwaka uchaguzi huu, anatafuta kuleta ujinga wake tu. Stukeni mapoyoyo, kila siku nyinyi mnafanywa wajinga tu.
Yaani Bashite kuaminiwa na Mama tayari ameshajiona anajua kila kitu!!. TL ni mashine nyingine kabisa. Anachotaka ni sawa na Singida United kuomba mechi na Manchester united!Hahahaha....ila hii nchi full of dramas ...nabisha sana huyu Bashite dakika moja tuu kwenye mdahalo na Mh Lissu atakuwa ameshapigwa K.O
Aibu ya karne hiiKatibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda amependekeza kufanyike mdahalo wa wazi kati yake na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ili Watanzania wachague ikiwa wataendelea na maandamano au kuchagua maridhiano.
Credit : Swahili Times
Sasa si mwambieni Mbowe na Lissu wenu wakubali huo mdahalo huo,ili mbivu na mbichi zijulikane?Makonda katoka hadharani kuwataka viongozi wote wa chadema wajikusanye na wawalete waandishi wa habari watakao wataka wao,yeye atakuwa peke yake ili Watanganyika tuujue ukweli, Chadema mnaanza drama,Wambieni viongozi wajitokeze mbele ya Makonda sio kuongelea chooni.Mwamba kaisha wapa nafasi ya kuwajibu maswali yenu na mkoshindwa kujitokeza,tuwaone humu mkifungua tired za kumuusu Makonda.
Lisu yeye ni nani? Unadhani siasa ni kuorodhesha vifungu vya sheria!
Makonda na Lisu nani anafatiliwa na wananchi kuzidi Mwingine?Yaani Bashite kuaminiwa na Mama tayari ameshajiona anajua kila kitu!!. TL ni mashine nyingine kabisa. Anachotaka ni sawa na Singida United kuomba mechi na Manchester united!
Hahahahaha.....
Chadema bhana 😂 ccm wakitaka mdahalo nyie mnadai hamtaki mdahalo mana hawezi kujibu hoja zenu yn mtadhani tayari mlishawahi kufanya mdahalo nae
Mnataka nani
Unatumia kigezo gani kumwita Makonda hopeless?
Huyo Mbowe ana nini chaziada kumzidi Makonda?
Huyo mla ruzuku zenu mnamuonaga Mungu sio?