Hebu jitose kama KubeneaKama serikali iliamua kumfungulia kesi za kutosha Sabaya sioni ni kwanini Makonda ambaye ni zaidi ya Sabaya serikali hiyo hiyo inapata kigugumizi cha kumfungulia kesi. Mbona ni swala rahisi sana ni kiasi tu cha kutangaza kuwa kila mwenye ushahidi awasilishe polisi au takukuru basi biashara imeisha. Ikitokea ushahidi haujitoshelezi basi aachiwe na mahakama imsafishe aachwe aendelee na maisha yake kama kawaida.
Lakini hii habari ya kuacha kila mtu aende binafsi kumdai Makonda naona kama linaichafua serikali na ni hatari kwa maisha ya Makona kwani sio wote watakaenda kudai mali zao kistaaarabu hasa ikitokea kama kweli kuna mtu ana madai halali halafu alidhulumiwa kibabe kwani kila mtu anajua yaliyokuwa yanatokea kipindi hicho.
Kama kuna nyumba imejengwa mwenye nyumba ni mwenye hati ya kiwanja!! Kama Makonda anayo hati ya kiwanja nyumba ilipojengwa basi GSM walie tu!
GSM sidhani kama ni Msomali atakuwa ni Mwarabumtanzania mweusi anapambana na Makonda dhidi ya tajiri Msomali Gharib....
Huyu Gharib na GSM sidhani kama wana nguvu yeyote ya kumnyoshea kidole Makonda
Ushahidi please.endeleeni kuamini hivyo ni Mtanzania mwenzako.. Utanzania kwao ni kwaajili ya kupata unafuu kwenye dili zao...wakibaki wenyewe sio Watanzania na wanaukana kabisa.
Daaah naona kama unajishtukia hebu jiamini.Ubaguzi wako nao hao mnaowatetea na kujiona watanzania wenzenu huku gizani wakiukana Utanzania na kuwafanya watanzania Wapagazi wao huku wakipambana kuwablack mail kwenye njia zote za uchumi....nyie mkibaki na vita zenu za CCM na CDM, SIMBA VS YANGA huku wao wakimwaga hela muendelee kulala usingizi..
Huu ni ukabulu, ishindwe na ulaaniwe kutumia factor za kibaguzi kuwajaji watu.mtanzania mweusi anapambana na Makonda dhidi ya tajiri Msomali Gharib....
Huyu Gharib na GSM sidhani kama wana nguvu yeyote ya kumnyoshea kidole Makonda
Acha ubaguzi ndugu.Ubaguzi wako nao hao mnaowatetea na kujiona watanzania wenzenu huku gizani wakiukana Utanzania na kuwafanya watanzania Wapagazi wao huku wakipambana kuwablack mail kwenye njia zote za uchumi....nyie mkibaki na vita zenu za CCM na CDM, SIMBA VS YANGA huku wao wakimwaga hela muendelee kulala usingizi..
Nadhani GSM kama wana akili waache kucheza michezo ya wanasiasa. Hakuna aliyejua Nape atakuja kuwa Waziri karibuni.
Makonda anaweza kuja kuwa Rais au Waziri na mwenye ma mlaka ndipo utakapoona GSM wanakimbia nchi.
Kwanini boss wanguKama huwajui sukuma gang basi wewe siyo mtanzania
Wamuachie Nyumba ila wamuoe ili kila akiwa anajamba awe anaoga mavi.Husiwatishe, hacha wadai nyumba Yao dhulma sio kitu kizuri . GSM chukueni vitu vyenu akija Kua waziri amieni Burundi hakujajaa
Ukiona hivyo Basi walikuwa na vitu vya ovyo nyuma yao au walikuwa wanafanya ya ovyo. Huwezi kukubali kirahisi kufanya jambo kama Unajua huna cha kuficha.
Yaani alipewa pande dk za mwisho ukuu wa wilaya.Makonda alifanya kosa kubwa sana kugombana na familia ya JK, ukizingatia walikomtoa.
Huu ni ukabulu, ishindwe na ulaaniwe kutumia factor za kibaguzi kuwajaji watu.
Kwanini usiwajadili Kama binadamu na sio kwa misingi ya race
Weka ushahidi laa sivyo ni porojo tu.kwasababu ya ubaguzi wao kwetu
Iddi Amini alikuwa ni mpuuzi tu kama wewe Mataga.Idi Amin alifukuza Wahindi, alikuwa sahihi...kwasasa hatupaswi kuwafukuza bali wanapaswa kujua hatuwaamini kama watanzania kuanzia Wahindi, Waarabu, Wazungu, Wasomali ...Hizi jamii hupaswi kuziamini pale zinapojinasibu kuwa raia hasa huku Africa...
Brother kua na nafasi kubwa huko siri_kalini, ndio tubariki utapeli? Mhuni anatakiwa ateme vya wahuni.Ungejua nafasi aliyonayo bashite huko serikalini sasa hivi.........
Nimegundua wengi vingi hamjui, ndio maana nilisema Kubenea anapoteza muda