Video: Makonda yamkuta makubwa, Ghalib wa GSM adai nyumba yake

Bado yale magari aliyokuwa anadhurumu, zama zimebadilika, atemeshwe vyote, alimjengea mama mkwe wake Ngara kwa Hela za utapeli
 
Haijalishi, Makonda mtumishi wa umma alipataje Mali za mabilioni? GSM mfanyabiashara, ndio maana pale msibani walilitosa
 
Kibri na jeuri hivyo ndivyo alivyofanya na Sabaya
 
Bashite wakati anatembelea ma Lexus ya hao jamaa na kuweka namba za serikali alikuwa anajua ni mali zake binafsi? Avune alichopanda maana alionea watu sana
 
Wapi Mambosasa, kijana wako anashughulikiwa huko
 
Nadhani GSM kama wana akili waache kucheza michezo ya wanasiasa. Hakuna aliyejua Nape atakuja kuwa Waziri karibuni.

Makonda anaweza kuja kuwa Rais au Waziri na mwenye ma mlaka ndipo utakapoona GSM wanakimbia nchi.
Vyovyote vile hilo haliwafanyi wasidai haki yao bashite aache utapeli kupitia marehemu
 
mtanzania mweusi anapambana na Makonda dhidi ya tajiri Msomali Gharib....

Huyu Gharib na GSM sidhani kama wana nguvu yeyote ya kumnyoshea kidole Makonda
Gharib ni mtanzania we acha ubaguzi we mkoromije.
 
Nadhani GSM kama wana akili waache kucheza michezo ya wanasiasa. Hakuna aliyejua Nape atakuja kuwa Waziri karibuni.

Makonda anaweza kuja kuwa Rais au Waziri na mwenye ma mlaka ndipo utakapoona GSM wanakimbia nchi.
Arudishe nyumba aache utapeli
 
Vijana wa Shikuba mnahangaika sana,hakuna issue hapo....

Tajiri yenu ananyea ndoo kwa Biden gerezani.

Nyinyi mnahangaika na visasi mitandaoni.

Hizo video za Mange Kimambi ni Uchuro mtupu.

Makonda ni Untouchable.
Ila sikutegemea kama Makonda angeongea vile
 
ni muda muafaka pia atuonyeshe ben saanane kamficha wapi... tunamdai mengi mno huyu bwana.

By sisi umoja wa wanaume tunaoendesha IST hapa DSM.
Hivi Kumbe Mna Umoja Wenu Kabisa??
 

"Naye akajibu akawaambia, Hamyaoni haya yote? Amin, nawaambieni, Halitasalia hapa jiwe juu ya jiwe ambalo halitabomoshwa". Mathayo 24:2

 
dah huruma imeniingia juu ya makonda. Watu wameanza kumgeuka mmoja mmoja, ipo siku hata wale wenye magari yao watamdai.
Kauli ya kinafiki ya rafiki anayejifanya mwana kumbe hater!

Huna hata huruma juu ya Makonda umeongea kinafiki. Hurumia wazazi wako na ndugu zako.
 
26 siku ya Ijumaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…