imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Labda Wadinka wa South Sudan, hakuna Watanzania weusi kama lami.Hili ni taifa la watu weusi
The flag speaks for itself
![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda Wadinka wa South Sudan, hakuna Watanzania weusi kama lami.Hili ni taifa la watu weusi
The flag speaks for itself
![]()
Umeambiwa utoe ushahidi kama unao , vinginevyo ni porojo tu, kwa mfano umeambiwa mama yake ni mdigo ! Je yupo MTU mwenye akili timamu anaweza kumkana mama yake eti tu kwa sababu yeye amepata rangi ya mchanganyiko ??!! Uelewe ukimkana mjomba umemkana mama !!hilo linajulikana liko Wazi, shida ni unafiki wao wa kujifanya wenzetu mchana huku usiku sio wenzetu..
Mipira kwako imeingia mara ngapi wabaguzi wakubwa nyieTusi ni lipi hapo, nguruwe?
Umeshindwa kuweka ushahidi wewe ndio umekuwa mnafiki.hilo linajulikana liko Wazi, shida ni unafiki wao wa kujifanya wenzetu mchana huku usiku sio wenzetu..
Umeambiwa utoe ushahidi kama unao , vinginevyo ni porojo tu, kwa mfano umeambiwa mama yake ni mdigo ! Je yupo MTU mwenye akili timamu anaweza kumkana mama yake eti tu kwa sababu yeye amepata rangi ya mchanganyiko ??!! Uelewe ukimkana mjomba umemkana mama !!
Wacha porojo weka ushahidi.Elewe msingi wangu, kujiita mdigo hata mtu anaweza kutoka USA leo akajiita yeye Mzaramo kwa kujifurahisha tu...
Sijakataa yeye kuwa mdigo, shida yangu iko kwenye unafiki wao kwa maana ya kutumia hizo asili mchana kupata upenyo na favor kama wazawa lakini usiku sio wadigo wala watanzania.. wanarudi kwenye asili za mababu na kupanga mikakati mizuri ya kutuhujumu mchana na kuhamisha hela na makazi kwenye asili zao za mababu na huko wanabaki na uraia wa siri....hiyo mipango kwa taarifa yako hata hizo serikali za huko kwenye asili zao wanajua...
We phi.mbi kweli, ulitaka waseme ili watupwe kama Moses Lijenje?Mbona hawakusema toka mwanzo kua Makonda anawalazimisha wamjeengee hiyo Nyumba! Hao wote wanajuwana kwenye ma deal yao machafu! Na si muda Siri zao wote watazitoa kwa jamii, ili mjuwe aina ya Viongozi na Wafanyabiashara mnao waamini sana!!
Muosha huoshwa,mwache Bashite nae anyooshwe.mwaka wake huu.Mwaka 2019 aliwadanganya GSM wale wafadhili wa Yanga kuwa Jiwe anataka ajengewe nyumba. Kweli GSM wakamuamini na wakajenga.
Baada ya hapo GSM wakawa wanataka Jiwe mwenyewe akazindue nyumba hiyo lakini Bashite akawa anawapotezea. Ndipo kwa namna yao wakamfikia Jiwe na mchezo ndipo ulipoharibika kwa vile Jiwe hakumtuma Bashite.
View attachment 2145146
View attachment 2145147
Kikupacho utamu na uchungu kitakupa. Hakuna namna kwa shemejio Bashite, ni wakati wake huu wa kufanya malipizi. Iko hivyo.Ukijiamini kwenye maisha na ukiwa mtu wakuridhika ata usiwe tajiri kuanguka kwa mwingine akuwezi kuwa jambo la furaha kwako kwa sababu uongezewi wala upungukiwi kitu.
Pambana vita yako kwenye maisha kwa silaha ulizopewa wewe furaha yako aiwezi kuwa kuona mtu mwingine anaangamia hiyo ni roho ya kimaskini tu.
Mange ni mzuri wa kutengeneza premise which suits the misleading narratives anayotaka kutengeneza; ujinga ni mtu mwenye akili zake timamu kuchukua anachoandika 100% kuwa ukweli.
Kama Makonda na team JPM ambavyo awakutegemea kibao kitabadilika kabla ya miaka 10, wengine wanatakiwa kujifunza hilo.
Ipo siku watu watapindua meza na wewe utarudiwa kama ulivyowaendea wenzio yote kwa sababu ya chuki/visasi ambavyo unatengeneza pasipo na ulazima, so busara ni kuangalia mbele tu kwenye maisha ya siasa na ‘hewala sio utumwa’ lakini ukiwa mjuaji ‘unapoona mwenzako anayolewa, na wewe tia kichwa maji’ zamu yako muda wowote.
GSM watu wanawajua tangia wakiwa maskini Songea na source ya utajiri wao, lakini watu wanaelewa nchi ya deal visasi havina maana kumaliza tatizo ni kuondoa mfumo sio kuumiza walionufaika kwa mazingira waliyoyakuta.

Nimeona kuna mtu kapost doc za mauziano ya hiyo plot na ilifanyika 2012-2013 I think kuna kitu kikubwa zaidi maana GSM naye hafaimtanzania mweusi anapambana na Makonda dhidi ya tajiri Msomali Gharib....
Huyu Gharib na GSM sidhani kama wana nguvu yeyote ya kumnyoshea kidole Makonda
Daah kwa mawazo haya utachelewa sana mzee dili nyingi kubwa tu zinafanywa bongo hii na watanzania weusi kama wewe lakini kwakuwa wamanga nao wamo basi nongwa.Ghalib ni mdigo mwenzio bibi Faiza, endelea kujidanganya kama wale waarabu wanavyowadanganya Watanzania huku wana uraia wa Oman, kutwa kucha kutorosha hela na huku mnawaona wadigo wenzenu...
Shida yangu iko kwenye Unafiki wa hawa watu pale wanapojifanya wema kwenye hadhara ya watu na kuuvaa utanzania na sisi kuwaona Watanzania wenzetu na kuwapa access za bure kwenye miundombinu yetu kama wazawa na matokeo wanatutafuna kila kukicha..
Huyo Mzungu uliyemtaja sio topic hapa japo yeye sio mnafiki, anapanda ndege anakuja hapa kama Mzungu na dili mezani anatuzidi maarifa anatupiga... hawa wengine ni wanafiki tu
Serikali ipi ambayo Bashite ana nafasi? Niambie ofsini kwake niende nikamzabe vibao!!
Acheni utani ile takataka haitokuja kupata nafasi tena, inasubiri siku yake tu ya kuungana na Ole Sabaya
Ana wivu ndo nilichogundua.Watu kama Salim Ahmed Salim wamelitumikia Taifa hili na Bara zima la Afrika halafu anakuja huyu mbwiga na chuki zake binafsi,sijui walishamlawiti??
MAGUFULI ALIKUWA UNTOUCHABLE LEO HAYUPO HATA HUYO UNTOUCHABLE SOON ANAISHAVijana wa Shikuba mnahangaika sana,hakuna issue hapo....
Tajiri yenu ananyea ndoo kwa Biden gerezani.
Nyinyi mnahangaika na visasi mitandaoni.
Hizo video za Mange Kimambi ni Uchuro mtupu.
Makonda ni Untouchable.