Video: Makonda yamkuta makubwa, Ghalib wa GSM adai nyumba yake

Video: Makonda yamkuta makubwa, Ghalib wa GSM adai nyumba yake

Hili ni taifa la watu weusi

The flag speaks for itself

depositphotos_483003538-stock-illustration-grunge-style-flag-tanzania-used.jpg
Labda Wadinka wa South Sudan, hakuna Watanzania weusi kama lami.
 
hilo linajulikana liko Wazi, shida ni unafiki wao wa kujifanya wenzetu mchana huku usiku sio wenzetu..
Umeambiwa utoe ushahidi kama unao , vinginevyo ni porojo tu, kwa mfano umeambiwa mama yake ni mdigo ! Je yupo MTU mwenye akili timamu anaweza kumkana mama yake eti tu kwa sababu yeye amepata rangi ya mchanganyiko ??!! Uelewe ukimkana mjomba umemkana mama !!
 
Nini dhambi kwa mwenye dhiki,, kipi halali kipi haramu..

Makonda alichokosea ni kuongea wakati wa kula,, kuna wanasiasa kibao wana maisha ila wamepiga zao kimyaaaaa

Ni funzo pia,, Kijana ukipewa mamlaka yatumie vizuri na ukikaribishwa kula keki ya taifa,,kula kimyakimya kadri ya urefu wa kamba yako.
 
Umeambiwa utoe ushahidi kama unao , vinginevyo ni porojo tu, kwa mfano umeambiwa mama yake ni mdigo ! Je yupo MTU mwenye akili timamu anaweza kumkana mama yake eti tu kwa sababu yeye amepata rangi ya mchanganyiko ??!! Uelewe ukimkana mjomba umemkana mama !!

Elewe msingi wangu, kujiita mdigo hata mtu anaweza kutoka USA leo akajiita yeye Mzaramo kwa kujifurahisha tu...

Sijakataa yeye kuwa mdigo, shida yangu iko kwenye unafiki wao kwa maana ya kutumia hizo asili mchana kupata upenyo na favor kama wazawa lakini usiku sio wadigo wala watanzania.. wanarudi kwenye asili za mababu na kupanga mikakati mizuri ya kutuhujumu mchana na kuhamisha hela na makazi kwenye asili zao za mababu na huko wanabaki na uraia wa siri....hiyo mipango kwa taarifa yako hata hizo serikali za huko kwenye asili zao wanajua...
 
Wacha porojo weka ushahidi.
 
Watu kama Salim Ahmed Salim wamelitumikia Taifa hili na Bara zima la Afrika halafu anakuja huyu mbwiga na chuki zake binafsi,sijui walishamlawiti??
 
Mbona hawakusema toka mwanzo kua Makonda anawalazimisha wamjeengee hiyo Nyumba! Hao wote wanajuwana kwenye ma deal yao machafu! Na si muda Siri zao wote watazitoa kwa jamii, ili mjuwe aina ya Viongozi na Wafanyabiashara mnao waamini sana!!
We phi.mbi kweli, ulitaka waseme ili watupwe kama Moses Lijenje?
 
Mwaka 2019 aliwadanganya GSM wale wafadhili wa Yanga kuwa Jiwe anataka ajengewe nyumba. Kweli GSM wakamuamini na wakajenga.

Baada ya hapo GSM wakawa wanataka Jiwe mwenyewe akazindue nyumba hiyo lakini Bashite akawa anawapotezea. Ndipo kwa namna yao wakamfikia Jiwe na mchezo ndipo ulipoharibika kwa vile Jiwe hakumtuma Bashite.

View attachment 2145146
View attachment 2145147
Muosha huoshwa,mwache Bashite nae anyooshwe.mwaka wake huu.
 
kabisa muosha muoshwa leo bashite ndio wakulalamika kufanyiwa ubabe.
Huyu fara anyang'anywe tu hiyo nyumba na mali nyingine alizozulumu.
Naona wapambe wake wa JF wameingia mitini
 
Ukijiamini kwenye maisha na ukiwa mtu wakuridhika ata usiwe tajiri kuanguka kwa mwingine akuwezi kuwa jambo la furaha kwako kwa sababu uongezewi wala upungukiwi kitu.

Pambana vita yako kwenye maisha kwa silaha ulizopewa wewe furaha yako aiwezi kuwa kuona mtu mwingine anaangamia hiyo ni roho ya kimaskini tu.

Mange ni mzuri wa kutengeneza premise which suits the misleading narratives anayotaka kutengeneza; ujinga ni mtu mwenye akili zake timamu kuchukua anachoandika 100% kuwa ukweli.

Kama Makonda na team JPM ambavyo awakutegemea kibao kitabadilika kabla ya miaka 10, wengine wanatakiwa kujifunza hilo.

Ipo siku watu watapindua meza na wewe utarudiwa kama ulivyowaendea wenzio yote kwa sababu ya chuki/visasi ambavyo unatengeneza pasipo na ulazima, so busara ni kuangalia mbele tu kwenye maisha ya siasa na ‘hewala sio utumwa’ lakini ukiwa mjuaji ‘unapoona mwenzako anayolewa, na wewe tia kichwa maji’ zamu yako muda wowote.

GSM watu wanawajua tangia wakiwa maskini Songea na source ya utajiri wao, lakini watu wanaelewa nchi ya deal visasi havina maana kumaliza tatizo ni kuondoa mfumo sio kuumiza walionufaika kwa mazingira waliyoyakuta.
Kikupacho utamu na uchungu kitakupa. Hakuna namna kwa shemejio Bashite, ni wakati wake huu wa kufanya malipizi. Iko hivyo.

Mwache yamkute ya kumkuta alitutambia kuwa yeye ndiye anayeponda raha kuliko watu wooote duniani
 
mtanzania mweusi anapambana na Makonda dhidi ya tajiri Msomali Gharib....

Huyu Gharib na GSM sidhani kama wana nguvu yeyote ya kumnyoshea kidole Makonda
Nimeona kuna mtu kapost doc za mauziano ya hiyo plot na ilifanyika 2012-2013 I think kuna kitu kikubwa zaidi maana GSM naye hafai
 
Ghalib ni mdigo mwenzio bibi Faiza, endelea kujidanganya kama wale waarabu wanavyowadanganya Watanzania huku wana uraia wa Oman, kutwa kucha kutorosha hela na huku mnawaona wadigo wenzenu...

Shida yangu iko kwenye Unafiki wa hawa watu pale wanapojifanya wema kwenye hadhara ya watu na kuuvaa utanzania na sisi kuwaona Watanzania wenzetu na kuwapa access za bure kwenye miundombinu yetu kama wazawa na matokeo wanatutafuna kila kukicha..

Huyo Mzungu uliyemtaja sio topic hapa japo yeye sio mnafiki, anapanda ndege anakuja hapa kama Mzungu na dili mezani anatuzidi maarifa anatupiga... hawa wengine ni wanafiki tu
Daah kwa mawazo haya utachelewa sana mzee dili nyingi kubwa tu zinafanywa bongo hii na watanzania weusi kama wewe lakini kwakuwa wamanga nao wamo basi nongwa.
 
Serikali ipi ambayo Bashite ana nafasi? Niambie ofsini kwake niende nikamzabe vibao!!

Acheni utani ile takataka haitokuja kupata nafasi tena, inasubiri siku yake tu ya kuungana na Ole Sabaya

kabisa mkuu,
kama mfungwa sabaya alikuwa anasema anatumia stahili za makonda na amefungwa .
Serikali sijui inasubiri nini kumfunga huyu bashite wakati ushahidi wa uchafu upo kama hii ishu ya GSM na sio nyumba tu hadi magari
 
Vijana wa Shikuba mnahangaika sana,hakuna issue hapo....

Tajiri yenu ananyea ndoo kwa Biden gerezani.

Nyinyi mnahangaika na visasi mitandaoni.

Hizo video za Mange Kimambi ni Uchuro mtupu.

Makonda ni Untouchable.
MAGUFULI ALIKUWA UNTOUCHABLE LEO HAYUPO HATA HUYO UNTOUCHABLE SOON ANAISHA
 
Back
Top Bottom