PreGE2025 VIDEO: Sauti ya Tundu Lissu dakika chache kabla ya kukamatwa na Polisi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wewe unategemea Lissu atakufanya uwe na maisha mazuri? Lissu anatumwa na Wabelgiji kwahiyo yuko kwa ajilj ha manufaa ya Wabelgiji wewe pambana na maisha yako.
 
Kitu Cha kwanza akishatoka mkagueni linda a.k.a sega, tafadhalini sana zingatieni hilo......mtakuja kunikumbuka.
Waislam na roho zenu mbaya mkiulizwa hapo mnafurahia kafanya kosa gani la kustahili hayo unayo yasema , huna jibu
 
Waislam na roho zenu mbaya mkiulizwa hapo mnafurahia kafanya kosa gani la kustahili hayo unayo yasema , huna jibu
Kwani we umekalia mboo wakati unaongea haya?!!! Uislami umekujaje Sasa?!!! Au aunti aggrey wewe?!!!
 
Shetani hajawahi kumshinda Mungu
Always Mungu
😡
 
Wewe unategemea Lissu atakufanya uwe na maisha mazuri? Lissu anatumwa na Wabelgiji kwahiyo yuko kwa ajilj ha manufaa ya Wabelgiji wewe pambana na maisha yako.
Kwani wewe uhuru unao ufurahia leo si ulipambaniwa na nyerere,? Africa kusini walipambaniwa na mandela tu, elewa kinacho pambaniwa hapo ni mifumo ya kiutawala ambayo italeta uwajibikaji na usawa na matumizi sahihi ya mali za umma sio sasa kundi dogo linalo chuma mali liwatumia wajinga kama ninyi kuwatetea bila nyie wenyewe kujijua , nyie mnakaza mafuvu kuamini mnatetea CCM kumbe hamjui mnatetea mabwanyenye wachache sana ndani ya chama yaliyo jichumia mali za wizi na yanawatumia nyie myasaidie kuzilinda kwa mgongo wa chama, stukeni nyie wajiga kesho wa wajukuu zenu itakuwa mbaya sana wakati ninyi kwenye ujana wenu mnatumika na kuuza utu wenu kwa masllahi ya wachache ndani ya ccm, baada ya kuwa wazalendo kwa nchi mnakuwa wazalendo kwa wezi walio jificha kwenye chama, maana mabadiliko ni kama fagio ndio maana wezi hawataki kuyasikia
 
Hapo Chadema kuna usawa?
 
Hapo Chadema kuna usawa?
Uchaguzi wa CHADEMA uliona? ule ndio usawa wenyewe kwa vitendo je? ni sawa na ule uhuni wa mafisadi CCM ambao wezi wa mali za uma waliwalipa chawa na kuwagharamia kuunga mkono ule uhuni ulio kiuka katiba ya chama? Ili waendelee kujilinda na kulinda wizi wao kwa mgongo wa chama.? Tuwe wazalendo kwa nchi ili uwe faida hata kwa vizazi vyetu vijavyo tuachane na akili ,za kuwa wazalendo kwa watu wenye pesa na chama kuliko nchi ambao ndio uridhi wa vizazi vijavayo ili tusije kulaumiwa kama sisi tunavyo laumu mababu zetu kwa kupokea shanga na kutoa almasi.tuijenge nchi wa maslahi ya nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…