Video: Tundu Lissu aingia soko la mitumba Manzese kutafuta Cadet na Jeans za mitumba

Ila ni kama ya yule babu kula kwa mama ntilie. Kipindi hiki kuna mengi sana
 
Yaani serikali yote imejikuta ina mpigia Lissu kampeni bila kujijua.
Ni yale yale walimdanganya Jpm kwamba Watanzania wana mkubali hana haja ya kufanya kampeni ya kuomba kura za urais 2020. Kumbe wachumia tumbo wali muingiza chaka baba wa watu. Lissu anamkimbiza mbio za mita mia kupokezana vijiti.. Ccm hoiiiii
Waenezi wanamuuza kwa maslahi yao.wabaya Sana hao.
 
Kuna Mdau humu aliwahi Kusema Tundu Lissu anatakuwa kuwa Presidential. Sasa naanza Kumwelewa kwa undan.

Huyu Tundu Lissu Anazurula tu sasa ivi, na Anazurula Dar es Salaam Ambako Watu huwa hawabadilishwi Msimamo

Anawatania Watanzania Kwa Kiasi Ambacho in Wahuni na wapumbavu wanaweza Shanglia na kumsifia Kuwa Anaakili. Ivi Mimi kama mpiga Kura Mpya Nashawishiwa Vipi na mtuninaejua fika Amekuja Kunitembelea sehemu yangu ya Biashara kwa sababu tu kapewa Adhabu, Dhamani ya Hawa anaokwenda kuwatembelea Leo imekuja baada ya yeye kupewa Adhabu.
Tundu Lissu Nguo na Vyakula Ndio vimeisha Ndani Baada ya Adhabu😂😂😂😂😂 Naandika huku Nacheka Kabisa.

Nawashangaaa sana Watu wanashangilia Tundu Lissu Kwenda Kuzurula To Honest Umaarufu Wa *Tundu Lissu anaushusha mwenyewe* Tukubali Tanzania in Tunahitaji Jembe Kama Magufuli na Sio MTU Wa Mzahaa kama Huyu Tundu Lissu Asie na Strategy Anakwenda tu kama Ngo'mbe iliyoachwa na Wenzie.

Kama kweli Angekuwa na Strategy Huyu Mzee asieijua Siasa. Sehemu Ambazo angeenda kuzurula in zile amabzo hazijawai kufikiwa na mwansisa yoyote awe Wa chama Tawala au Upinzani, Kule ndio angeweza Badilisha Mawazi ya Wapiga Kula Ila Sio Soko la Manzese au wala Bata Wa mlimani City.

Ila kwa Sababu Huyu MTU sio Mwanasisa Wacha Azurulule.

Mimi kuzurulal kwanke naona kabisa anashusha umaarufua na Kuharibu Kampeni me nilipenda Rais Mpendwa Wa Wengi Japo Apate Changamoto kila wamempa mzurulaji.

Ivi unajua Kwanini Mnaona Magufuli ameona Apumzike aendelee na Shughulia za kitaifa?😂😂😂 Kisa in huyu Upinzani Uchwala Mzee Magu Kaona Anapoteza Muda Tu maana Ushindi ni wakishindo wacha apigae kazi za maaana
 
Lissu ameamua kuutumia vizuri muda wa likizo ya lazima ya Tume kutafuta mahitaji yake ya muhimu.

Jamii forum raha Sana ,uchaguzi huu raha Sana ,mpaka nashindwa kuelewa hivi watu wanaochukiana kisa siasa mpaka kufanyiana mabaya iyo roho wanapataga wapi ? Ninao rafiki zangu wengi wenye mtazamo tofauti wa vyama ila huitana ,hupata moja baridi huku wakizungumza Mambo ya siasa kwa utani Sana ,na kufurahi bila shida yoyote, tubadilike siasa sio uadui ,
 
Mkuu BAK kama uko karibu naye, au wafuasi wake, mwambie/waambie nafasi anayegombea siyo ya Serikali za Mitaa. Anachofanya kwa sasa kuzunguka mitaani, pamoja na kuhatarisha maisha yake (kumbuka amekuwa akidai usalama wa maisha yake kwa jeshi la polisi na usalama wa taifa), ni kichekesho. Vijana wa mjini wanamwona kama kinyago vile.

HAKIKA LISSU ni mwanasiasa uchwara
Mkuu, tuungane kuukataa huu utawala wa WATEKA NYARA. Uhuru na Demokrasia ni lazima vitamalaki baada ya Oktoba 28.
 
Rais Magufuli ataunguruma kwenye kampeni za uraisi Dar uwanja wa Taifa Temeke kesho Tarehe 9 oktoba 2020.Jiji kesho kusimama

Kuanzia saa moja asubuhi wananchi wa Dar wametakiwa kufika mapema kwani SAA moja asubuhi shughuli za kampeni zitaanza rasmi uwanjani hapo

Toka kampeni zianze ni Magufuli pekee ambaye amekuwa akijaza umati mikutano yake mida ya asubuhi tofauti na wengine wa vyama vingine ambao mikutano yao hufanyika jioni giza likiwa linaingia na picha zinazopigwa zikiwa zimejaa Giza wahudhuriaji hawaonekani hata sura
 
Raisi Magufuli ataunguruma kwenye kampeni za uraisi Dar uwanja wa Taifa Temeke kesho Tarehe 9 oktoba 2020.Jiji kesho kusimama

Kesho kuna fiesta ya bure, Temeke asante kwa taarifa,
 
Mkuu BAK kama uko karibu naye, au wafuasi wake, mwambie/waambie nafasi anayegombea siyo ya Serikali za Mitaa. Anachofanya kwa sasa kuzunguka mitaani, pamoja na kuhatarisha maisha yake (kumbuka amekuwa akidai usalama wa maisha yake kwa jeshi la polisi na usalama wa taifa), ni kichekesho. Vijana wa mjini wanamwona kama kinyago vile.

HAKIKA LISSU ni mwanasiasa uchwara
Akumbuke hata Mzee Lowassa alifanyaGA hivyo hivyo na kura hakupata.
 
Raisi Magufuli ataunguruma kwenye kampeni za uraisi Dar uwanja wa Taifa Temeke kesho Tarehe 9 oktoba 2020.Jiji kesho kusimama

Kuanzia saa moja asubuhi wananchi wa Dar wametakiwa kufika mapema kwani SAA moja asubuhi shughuli za kampeni zitaanza rasmi uwanjani hapo

Toka kampeni zianze ni Magufuli pekee ambaye amekuwa akijaza umati mikutano yake mida ya asubuhi tofauti na wengine wa vyama vingine ambao mikutano yao hufanyika jioni giza likiwa linaingia na picha zinazopigwa zikiwa zimejaa Giza wahudhuriaji hawaonekani hata sura

Habari njema sana hii kazi inaendelea kwa mkoa wenye majimbo mengi. Kura zote kwa John Pombe Magufuli

Tunachukua Tunaweka Waaaaa
 
Raisi Magufuli ataunguruma kwenye kampeni za uraisi Dar uwanja wa Taifa Temeke kesho Tarehe 9 oktoba 2020.Jiji kesho kusimama

Kuanzia saa moja asubuhi wananchi wa Dar wametakiwa kufika mapema kwani SAA moja asubuhi shughuli za kampeni zitaanza rasmi uwanjani hapo

Toka kampeni zianze ni Magufuli pekee ambaye amekuwa akijaza umati mikutano yake mida ya asubuhi tofauti na wengine wa vyama vingine ambao mikutano yao hufanyika jioni giza likiwa linaingia na picha zinazopigwa zikiwa zimejaa Giza wahudhuriaji hawaonekani hata sura
Habari njema kweli hii. Wananchi wameishajiandaa kwa ajili ya kesho kwenda kumuona Rais wao!
 
Back
Top Bottom