Video: Tundu Lissu atoa ufafanuzi wa hoja aliyoitoa Babati Aprili 26, 2024 kumjibu Fatma Karume kuhusu 'Ubaguzi na Muungano wetu'

Anayeweza kusikiliza hiyo takataka ni nyumbu wenzie. Hilo shoga litakufa na upumbavu wake
 
Hoja yako ni nini hapa?

Au huna bundle (MB) kufungua na kusikiliza video na kuelewa kilichozungumzwa?

Majibu ya maswali yote uliyouliza yamo kwenye maelezo ya TL kwenye video clip hiyo. Sikiliza tena, acha uvivu..
 
Naona hujui unacho ongelea kuhusu huo uwiano unaokupa shida kuuelewa wewe.
Hata hujui Dar inao wabunge wangapi?
Unapoongelea Dodoma, una maana ya Dodoma mjini, au Dodoma mkoa?

Inasikitisha sana kuona kuwa hata hujui majimbo ya uchaguzi yanatakiwa kuwa na sifa zipi. Wewe unaishi Tanzania, au unatembelea tu!
 
Anayeweza kusikiliza hiyo takataka ni nyumbu wenzie. Hilo shoga litakufa na upumbavu wake
Hahaha, jilaumu mwenyewe kwa kuzaliwa na wazazi mbumbumbu, wenye uwezo mdogo kiakili, ukaenda shule badala ya kusoma ukakalia ujinga mwisho wa siku garbage in garbage out.
 
Huyu jamaa kwenye siasa yuko njema...kabla hujamjibu inabidi ufikirie sana.
Nawaza tu makonda alitaka debate na huyu mwamba...nacheka tu
 
Inashangaza kuwa kina Nape Nauye na CCM yake wanataka tuendelee kuishi ktk giza la ujinga na udanganyifu wa miaka 60..
'Generalization' isiyo kuwa na ukweli kabisa. Nimesita kidogo kuunyanyua huo mstari, lakini mwisho wa siku nikashindwa kuunyamazia.
Kamwe huwezi kusema Tanzania hii tumeishi "gizani na ujingani" kwa miaka yote hiyo sitini. Mtu unaposema maneno ya namna hii unavuruga kabisa hoja zote, hata zile nzuri unazotaka watu wazifahamu.
Nani asiyejuwa kelele za mara kwa mara toka Zanzibar kuhusu "Kero" za Muungano zilipamba moto nyakati zipi? Hiyo Katiba ya Zanzibar ilikuwepo 1964?
Haya mengi tunayoyashuhudia leo kuhusu Muungano na viongozi toka Zanzibar kuja kutawala Tanganyika, yalikuwa kama yalivyo leo hiyo miaka ya 60/70?
 
Wangefunika kombe mwanaharamu apite, huu muungano wa kihuni kabisa, kumbe walishajinyofoa kwenye Muungano sasa wamerudi kutuuza
 
Wewe nadhani una shida kwenye ubongo na kichwa chako, sio bure..

Lengo la hoja ya Tundu Lissu sio hilo unalowaza wewe..

Yaani Tundu Lissu anaonesha changamoto na nyufa za muungano zilizo ndani ya katiba..

Badala ya wote tukubali na kuona kuwa ni kweli lipo tatizo la hivyo tukubaliane kukaa chini kama taifa kurekebisha kasoro hizo wewe unawaza vita ya wenyewe kwa wenyewe!... Una akili kweli???

Na kama hizi ndio akili za CCM na kushapaza shingo zao, unadhani chanzo cha machafuko (kama yakitokea) watakuwa kina nani Tundu Lissu na CHADEMA au ni hawa watawala wenye shingo gumu za kukubali udhaifu wao?
 

Unaweza kurekebisha tu na utaeleweka..

Badala ya "tumeishi kwenye giza la ujinga na udanganyifu kwa miaka 60 toka mwaka 1964", wewe unaweza kutaja kipindi cha muda tuliokaa ktk giza la udanganyifu huu wa utawala wa CCM..
 
Chadema wakifungua bendi ya taarabu watapiga sana hela, kama ilivyo Ccm ikifungua chuo cha machawa
Nadhani kiwango chako cha uelewa ni finyo kupindukia.
 
Ni Ndondocha pekee wanaosema kwamba kumwita mtu Mzanzibar (kama katiba yao inavyosema) ni ubaguzi.. akili za kushikiwa tu hizi, sijui wamezitoa kwenye maharagwe ya wapi...
Kwahiyo katiba ya Zanzibar ni batili !.
 
Ni kauli zisizokuwa na mantiki
 
Kweli ccm hamna akili ndio umeandika taka taka gani hizi
 
Unaweza kurekebisha tu na utaeleweka..

Badala ya "tumeishi kwenye giza la ujinga na udanganyifu kwa miaka 60 toka mwaka 1964", wewe unaweza kutaja kipindi cha muda tuliokaa ktk giza la udanganyifu huu wa utawala wa CCM..
Sawa, lakini fahamu kuwa haikuwa lawama kwako. Unapofanya 'sweeping statement' kama ulivyofanya, inakuwa ngumu sana kutetea hoja unayoiwasilisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…