Video: Wananchi wakimlilia Hayati Magufuli baada ya kuchoshwa na uonevu

Video: Wananchi wakimlilia Hayati Magufuli baada ya kuchoshwa na uonevu

Kiukweli kabisa mambo yalivyo huku mtaani hali ni mbaya sana. Tofauti na humu mitandaoni ambapo walamba asali mtu mmoja anaweza kuwa na akaunti hata kumi majina tofauti. Hivi watu wa TIS hawaoni? Au mpaka nchi itumbukie matopeni?
 
Wajinga wa ufipa wanajipa moyo tu lakini hawana lolote
 
Mafisadi wanadai mama anaponya nchi wamemuandikia na kitabu
So nchi ilishapona wanategemea haitakuja kuugua tena?.

Hao waliotunga kitabu ni wajinga tu, wanatunga kitabu nani akisome, wanajua au hawajui sisi siyo wasomaji wa vitabu?.

Na wanajikashifu wenyewe kwa kuacha ethics za tasnia yao kwa kujipendekeza kwa wanasiasa, wanasahau kuwa mwanasiasa ni sawa na Mall, ukiwa ndani hujui kama nje kuna giza hadi utoke.

Hao jamaa na kitabu chao nawapa muda then humu humu kuna siku tutawajadili kwa ujinga huu!.
 
Hao waliotunga kitabu ni wajinga tu, wanatunga kitabu nani akisome, wanajua au hawajui sisi siyo wasomaji wa vitabu?.
Kitabu ni kwa ajili ya watu serious sio kil.aza kama wewe. Wanaojitambua huwa wanasoma vitabu usidhani kwa sababu unakesha kule MMU basi unadhani Kila mtu hajitambui kichwani. Ni hivi historia ya dhalimu lazima ielezwe kwa uwazi Ili liwe funzo kuepuka aina ya kiongozi kama yeye kupewa madaraka makubwa vile.
 
TUACHENI siasa za kuwatumia maskini na watu wasio na taarifa .
Sawa mkuu!.

Naomba sasa hao hao wasio na taarifa kwa uelewa wako mkubwa kawape taarifa za CAG na uwafafanulie, upigaji uliofanywa na hao jamaa zak©!.
 
Kitabu ni kwa ajili ya watu serious sio kil.aza kama wewe. Wanaojitambua huwa wanasoma vitabu usidhani kwa sababu unakesha kule MMU basi unadhani Kila mtu hajitambui kichwani. Ni hivi historia ya dhalimu lazima ielezwe kwa uwazi Ili liwe funzo kuepuka aina ya kiongozi kama yeye kupewa madaraka makubwa vile.
Jiwe limekupiga gizani, naona umetoka kwenye mwanga tujue👏🏾👏🏾👏🏾!.

Punguani siyo lazima umkute anaokota uchafu hama nguo zake zimetatuka NO!.
 
Kushindwa Nini Tena wakati Mzoga wenu umeshaoza mifupa?? Huwa siwaelewi mnaodai JPM hajashindwa wakati ameondoka kiulaini tu..mnatia huruma sana

Kwanza kabisa, usijitwishe umungu mtu. Pili, hakuna Mwananchi Nchini anayeshindana au asiyejua kuwa hayuko nasi....hayo unayosema na kuendelea kuhemeka ni muendelezo, wa hayo niliyoyasema huko juu....ni script na ni Ugaidi!
Mtashindwa na mtalegea kwa Ugaidi wenu. Period

Maana ya kusema hayo maneno yako ambayo sitayarudia ni matusi ya hali ya Juu sana, Zitto.J Hayati hakuwa mnyama 2) ni Ugaiidi mnaondeleza pale kukicha kunapotokea hoja za exonoration/vindication kwa yale mliokuwa mkiyasema mwanzoni: sasa badala ya kujibu hoja hizo, mnaleta Ugaidi.....

Umethibitisha yale niliyobandika juu, kuwa mmejaa visasi binafsi, mnajaribu kwa nguvu sana kuonyesha uovu ambao haukuwepo ili kuilazimisha umma iwaunge mkono na jitihada zenu, mbinu zenu hasi za 'ku defame' ili kuficha ukweli. Mtashindwa, mtalegea.
Ipo siku mtakuwa "Membefied" wee endelea na Ugaidi wenu. Mnaonekana.
 
Hao wananchi niwapumbavu kabisa unamuuomba au kumlilia jambazi mkubwa ametudhulumu wavuvi Kara yakalya wilaya uvinza kijiji kashagulu mungu amlani hukoalipo aongeze moto hadi sasa sinaham Mimi familia yangu pamoja wavuvi wangu hatutopiga kura maisha yetu tena tunaacha mambo yetu tunasimama muda mrefu kwenye mistari alafu MTU anakuja kukomoa hatutaki tena
 
Octoba 2015, Pombe Magufuli

Kuna jamaa hapa Mbeya anatamba na mihela amejenga maukuta ya kuchepusha mto kwenda kwenye ardhi zake, ngoja niwe Rais haki ya Mungu atakoma kuringa......

CPf7uW8UAAAJoUY.jpg
Hapa tayari virusi vilikuwa utosini
 
"Jpm alijificha kwenye chaka la kutetea wanyonge, ambao kimsingi ndio Tupo wengi, na alifanikiwa kuwa kamata wajinga na wapumbavu wengi kweli, he was very bright!
 
Back
Top Bottom