Video ya Aliyewahi kuwa Naibu Waziri Mambo ya Ndani (Ame Silima) akidhalilishwa na Mwanamke

KARMA huwa haisahau Anuani ya mahali inapotakiwa ikalipishe Deni linalodaiwa 😳 !
 
Duh πŸ™„ !
 
Atakuwa anahamia bara huyo sio bure, tena Dodoma kabisaa!!
 
Mtu kama huyu ni wa kupigwa tu na wananchi
 
Toka Maktaba :

14 May 2024
Unguja, Zanzibar

Balozi Ame Pereira Silima, ni mfano kama Wimbo wa bendi ya Msondo Ngoma - wanaume tumezaliwa kupata mateso

Mke wa Balozi Pereira Adai Kuvamiwa Nyumbani Kwake na Watu Wasiojulikana

View: https://m.youtube.com/watch?v=4v8uLwQUJEQBi. Mwanaamina asimulia mikasa inayoikumba familia ya balozi mstaafu Ame Pereira Silima...
 
Hyu dada ana chura πŸ˜„

Ova
 
Wanasema usiamini kila unachokiona mtandaoni King Kong III njoo kuthibitisha taarifa hizi ni za kweli au ndio km mambo yale ya yule mama wa Kitchen?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…